Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Achani ujinga wenu hapa. Mkipigwa kwenye mshono mnaanza kulalama. Yaani muibe kura halafu hamtaki kuambiwa ukweli. Pambaf kabisa. Anza kukaa kimya wewe
 
Basi tuseme jaji Warioba sio Mzalendo.

Mzalendo ni Makonda.

Hapo si utakuwa umeridhika na kufurahi mjinga wao ?
images (66).jpeg
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hii inchi hakika imelaaniwa
 
Warioba is a pinnacle of excellence and a formidable intellectual force to reckon with. He's aging with grace and stands tall even among his acolytes.

I'm a witness to a nascent idiotic Anti-Warioba-trope, which I find to be fueled by primordial envy and lunacy, than UZALENDO. All people who criticize Jaji Warioba happen to be unable to challenge him intellectually in the battle of wits, but use smear campaign, gutter politics and brute force.

After Jakaya's camp lost a constitutional debate against Warioba's, they sent henchmen and goons to violate Jaji Warioba in public, something which was vindicated by divine providence and Kikwete himself was proportionately humiliated by the same goons he sent.

Let Warioba Be, currently none of you in CCM can vibe at his High Frequency of Intellect and Integrity.​
Mr. Gwamaka: ugonile? Ndaga? You are wrong. Mma!!! There was no such thing as Kikwete's camp, it was the integrity of the United Republic and it's people. What happened was that Warioba in the Chair was a weak character, lukewarm in his convictions. He had been aptured by the CHADEMA Camp allied to Waarabu "wa CUF" who wanted to break the Union. In exchange for their tribal based Majimbo Government (akin to Kenya's Counties, each tribe with it's County, big tribes like Nyakyusas or Hayas will have 3) they compromised and pushed the Katiba Pendekezwa for 3 Governments. It was 3 people; Askofu Pengo, Professor Shivji, and Kikwete who saw through the strategy and stopped it to the support of the vast majority of the people. To the chagrin of CHADEMA and Maalim Seif, the shame on Warioba, and the Glory of the Union after the G55 move stopped the Zanzibar illegalities. Go back 20 years Warioba was Prime Minister and t First Vice President. Again he was weak and lukewarm corruption and illegalities began taking roots and you had the G55 uprsis.ing in reaction. Again, Warioba was indecisive and weak knee'd: he was dismissed, kicked out in disgrace by his boss President Mwinyi and his place taken over by Malecela. What you call goons are nothing but manifestation of suppressed exuberance when a tyrant has been cornered. Go back 10 years earlier, with Maalim Seif fiend and Colleague of Warioba in an unholy alliance to break up the union by sowing disoord, he leaked Aboud Jumbe's papers to Nyerere to get favour from him and take Aboud Jumbe's place to break the Union. Itl aso failed and the same goons of yours as you call them celebrated. No Sir, Mma. Mma, Warioba is nothing but a weakling.
 
A weakling yet CCM and Nyerere were never indifferent to the old man throughout his career, showering him with appointment after appointment even after his retirement.

If Warioba was an intellectual doormat, a renegade, a charlatan and a push over, then believe me, he could have been tethered to a fate similar to that of Kolimba, Kombe, Lyatonga and Jumbe. But not, his intellectual juggernaut kept rolling from Mkapa's years till today.

Now back to the basics. Again you have proven me right, nobody who disagrees with Warioba can field a formidable arguments to refute what he says. No body. All I saw here is a relentless barrage of ad hominem tirade.

Warioba had no any ulterior motive against The Republic. And I believe when it comes to losing faith, he'll be the last one to abandon the ranks. The Report of the Constitutional Commission were voluminous and explicit. Reading them could have spared many people intellectual embarrassment.

Like the 1992 Nyalali Report, the Constitutional Draft was not Warioba's personal concoction, but a comprehensive collection of thoughts and wishes of ordinary folks who were dead disgruntled by the Republican Government led by CCM. Castigating Warioba's report is tantamount to spitting on our faces.

And, if PENGO thought that the Draft was sacrilegious, then I'm sorry to tell you that he's an intellectual fossil buried deep down the trenches of European Medievalism, still fooling himself that all roads lead to Rome. A proverbial example of why religion is a cancer in Africa.

There was more to Warioba's Draft than THE STRUCTURE OF THE UNION. The Triumvirate of PENGO, JAKAYA and SHIVJI should have known better.

But not, because of their sin of Elitism, thinking that they're better than the rest of us, that we are mentally impaired and they are Aristotelian Men of Gold, or Nietzschean Ubermensch, born to think for us and rule us, arrogantly disregarded public opinion.

Now, you tell me considering this awful spectre of death and mayhem, cascading our Republic, even without Warioba's allegedly subversive overtures, do you think the UNION is headed into a right trajectory ?

Even without G55 or Warioba's Draft, our beloved BOSS LADY is a reincarnation of your worse nightmares. She's slowly tearing down the UNION, piece by piece, only this time she's doing it from the heavenly places, not from the gutter.

Two last things, just because public opinion coincide with political views of the party you don't like, doesn't make it wrong and expendable. Also, G55 owes it's pedigree from Malecela's incompetence and political ineptitude, so leave Warioba out of this Bull Crap.

What you and the Anti-Warioba Online Brigade is character assassination, a prelude to a political purge. Like in Black Magic , you start casting spells, then the evil curse follows.

If anything happens to that old man, then rest assured, his blood will be on your hands.​
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hajawasema Polisi vibaya! Amewasema wanaoitumia Polisi kuvuruga uchaguzi.
 
A widely travelled professional, Judge Warioba attended or else helped organise quite a number of international and regional consultations and meetings, including the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization Conference in Paris, France (1966), the Refugee Conference in Addis Ababa, Ethiopia (1967),

the Law of Treaties Conference in Vienna, Austria (1968-1969), the Organization of African Unity Council of Ministers in Addis Ababa (1968), the Human Rights Conference in Tehran, Iran (1968), the United Nations General Assembly, intermittently from 1971-1981, the Organization of African Unity Summits, intermittently from 1972-1984, and a number of Law of the Sea Conferences in years between 1971 and

1982. He was Chairman for the United Nations’ preparatory communications for the Convention on the Law of the Sea (1983-1986).
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Screenshot_20241208-133327.jpg
 
Sawa Tukianza Kumjibu kwa Hoja majukwaani asianze Kulia Lia Kuwa anavunjiwa Heshima, Mana Kwa Umri ule kwani ni wazee wangapi ambao walikuwa Key figures mbona wametulia tu mzee, Yeye iweje kila siku kutaka Mic
Ukimya wa hao wazee wengine si standard unit ya uzee, either hawajiamini kwani Warioba kama wewe si mtoto wa 2000 utakuwa unakumbuka alivyokabiliana na Wahindi waliokuwa wanapishana kuingia ikulu kipindi cha rais Mwinyi. He still holds that strong personality so you'll either like him or hate him ila kwenye ukweli huwa hamung'unyi maneno, he is the kind that at this point in time the nation terribly need.
Mambo ya kutekana na kuuana hawa vijana ambao wanapiga kelele kwa yeye kutoa maoni ambayo ni haki yake kikatiba sijawahi kuona popote pale wakiyalalamikia na kuvilaumu vyombo vya ulinzi na usalama vinayoyakalia kimya na kushindwa kutoa majibu pale vinapohusishwa na utekaji/uuaji.
Goodness hata Pius Msekwa ameosha dhahiri maeneo aisiyoridhika na uendeshwaji wake.
 
Hapana mbona Mbowe anamachawa kibao ukifika muda wa uchaguzi utasikia mwamba tuvushe wengine wanajifanya wanaenda kujusujudu nje ya geti lake kujifanya wanagombea agombee kumbe uhuni mtumpu
Screenshot_20241209-065057.jpg
Pamoja na kwamba kushabikia chama(fanatic) au mwanasiasa yoyote ni upungufu mkubwa kiakili lakini chama pekee ambacho officially kimetambua, kutokea, kufurahishwa na kufanya kazi na 'chawa' wake ni CCM.
 
Back
Top Bottom