technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Pumbavu Sana we litoto ni jikalao kubwa la majinga yote!!
mtu anafanya au serikali ndio unafanya ??
Mtekeni Basi muone kwama Samia hajapinduliwa mchana kweupe
We unafikiri kakurupuka kulitaja jwtz?
Jichanganyeni mtaona kitakachowatokea 2025!!
mtu anafanya au serikali ndio unafanya ??
Mtekeni Basi muone kwama Samia hajapinduliwa mchana kweupe
We unafikiri kakurupuka kulitaja jwtz?
Jichanganyeni mtaona kitakachowatokea 2025!!
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!