Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Warioba is a pinnacle of excellence and a formidable intellectual force to reckon with. He's aging with grace and stands tall even among his acolytes.

I'm a witness to a nascent idiotic Anti-Warioba-trope, which I find to be fueled by primordial envy and lunacy, than UZALENDO. All people who criticize Jaji Warioba happen to be unable to challenge him intellectually in the battle of wits, but use smear campaign, gutter politics and brute force.

After Jakaya's camp lost a constitutional debate against Warioba's, they sent henchmen and goons to violate Jaji Warioba in public, something which was vindicated by divine providence and Kikwete himself was proportionately humiliated by the same goons he sent.

Let Warioba Be, currently none of you in CCM can vibe at his High Frequency of Intellect and Integrity.​
 
Warioba is a pinnacle of excellence and a formidable intellectual force to reckon with. He's standing tall even among his acolytes, aging with grace.

It is a nascent idiotic trope, that all people who criticize Jaji Warioba happen to be unable to challenge him intellectually in the battle of wits, but use smear campaign, gutter politics and brute force.

After Jakaya's camp lost a constitutional debate against Warioba's, they sent henchmen and goons to violate Jaji Warioba in public, something which was vindicated by divine providence and Kikwete himself was proportionately humiliated by the same goons he sent.

Let Warioba Be.​
I hereby challange him humbly and intellectually...Iam going contra to the verbal loose stool he utterd against 5th presidency tenure.
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kubwa jinga chawa
 
jaji warioba tunamjua
wewe ni nani nchi hii?
 
I hereby challange him humbly and intellectually...Iam going contra to the verbal loose stool he utterd against 5th presidency tenure.
This ain't humility, it's is a Machiavellian tactic intended to stifle free speech, thwart a critical national debate and spark online mayhem, especially against Elder Warioba and like minded intellectual.

You're conjuring demons to attack Elder Warioba by evoking negative emotions from a pool of online party loyalists who will go to diabolical depths to please their political overlords within the party and security establishment.

You're being complicit and nefarious. If anything happens to Elder Warioba because of these irresponsible statements, know this his blood will be on your hands. And you'll surely live a miserable life that will also register to your children.

Warioba has not reached that old age by accident. Leave the old man alone.​
 
Rasimu ya Warioba ina mapungufu mengi tu. Mzee alikuwa ana nia ovu ya kuuvunja muungano.
Machawa saazingine akili zenu huzificha katika deshideshi waalah!

Kuitwa 'rasimu ya Warioba', kwako imekuwa Warioba ndiye yeye binafsi aliitunga kutoka mawazoni mwake na akili zake binafsi, bila kuwepo na mkusanyo wa mawazo ya raia wengine wa nchi.

Ndipo unaponifanya niamini kuwa waTZ sasahivi tumegawanyika pakubwa sana na platform hii ya 'wandewa' katika JF imekwisha kutiwa najisi na kuvurugwa.

Hakuna tena kujenga hoja ikajadiliwa kwa kubadilishana mawazo, ni ubishani wa kupinga na kutukana!

Lakini watu kama nyie huwa hamkosi kwenye kila aina ya utawala, tangia enzi zile za utumwa, kulikuwa na cheo cha 'Nokora mpumbaf', kazi yake kusnich watumwa wenzake wasiweze kujadili dhulma wanazotendewa.

Ndipo tulipo nasi katika zama zetu hizi, Nokora ndiye chawa.

Mtu hata kama ni msomi na masters zake, lakini kwa 'ajira' ya uchawa, mnajifyatua akili na kuonekana kama wahitimu wa ngumbalu kulaleki!
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nenda kuzimu ewe adui wa msalaba na taifa
 
Yani we jinga unayechambia kalatasi huko kwenu kwa uhaba wa maji hustahili hata kumsogelea jaj sinde warioba eti leo unasema hana alichokifanya kwenye Taifa hili.

Angaika na matatizo ya familia yenu ambyo mlo wa siku unawasumbua na sio kujifanya unamjua warioba.

Hawa ndio wazee wachache waliobakia wanaostahili heshima
 
K
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
kumbuka huyu unayembeza alikuwa mwenyekit wa kamti ya Katiba pendekezen ambayo inasubiriwa kupgiwa Kura ya maonihalafu wewe unambeza au Kwa vile ameongea ukweli?
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wewe ni mpuuzi
 
Back
Top Bottom