Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Zipi hizo hebu zitaje hapa tuzichambue
Kwamba ame amsha vichaa wa aina yako, hiyo ni kazi muhimu anayo ifanya. Hii ni sehemu muhimu ya kuwa ondoa madarakani, ndiyo sababu mnawehuka kama unavyo onyesha wewe mwenyewe hapa.

Sasa hivi Mzee Warioba anafanya kazi muhimu zaidi kwa taifa hili kuliko alivyo wahi kufanya.
Kwa hiyo, kama unaona huko nyuma hajafanya lolote la kumtambulisha, sasa fahamu kazi hii muhimu anayo itekeleza; na waTanzania wana elewa vyema kazi hii.
 
Nchi imeharibika sana kuanzia yule ndugu yake Kagame alivoshika uongozi! SSH naye karithi muendelezo ule ule wa kutaka kusifiwa kwa kila kitu hadi makosa yake!
Acha ujinga wewe. JPM alikuwa mzalendo hakutaka bla bla. Amewajengea uwezo amewapa maono kama SGR, umeme, maji nchi nzima. Kupunguza rushwa. Wote ni wanufaika.
 
Warioba kwa uzee wake ilipaswa kweli apumzike kabisa
Aliekuambia amechoka nani??? Watu hamna akili mnaambiwa mnaharibu nchi mnasema anaewambia apumzike hii nchi sio yenu hii ni yetu wote sio genge flani linalojifanya linajua linaharibu nchi acheni uhuni .
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI Y

Tuambie wewe umefanya nini kama Warioba hajafanya kitu wewe umefanya nn?? Sasa wewe na Warioba nani ametoa mchango mkubwa Nchi hii??
A MTU WA TANZANIA
 
Alic
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
hosema jaji ni sahihi tujibu hoja na si kum attack personal ila alichofanya jaji warioba kwenye uongozi wake hamna hata kimoja
 
Nyie. Wewe na Samia imeichukua Tanganyika na kuiuza. Unafikiri Samia angekuwa ana maono ya kukuletea maji,SGR, umeme, kutokemeza rushwa.
 
Alic
hosema jaji ni sahihi tujibu hoja na si kum attack personal ila alichofanya jaji warioba kwenye uongozi wake hamna hata kimoja
Tunahitaji kiongozi Mzalendo. Anayejali maslahi ya Watanganyika. Sio kazi yake kuuza kila kitu kwa waarabu.

Warioba ni kiongozi mwenye uchungu na Tanganyika. Anajali Tanganyika kuliko huyu dalali wa kuuza nchi kwa waarabu Samia Suluhu.
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Jinga. Oooooh😁😁
 
Ni lipi la uongo lililosemwa na warioba? Kwanini unataka awe mnafiki wakati kwanza umri wake upo jioni kabisa? Nikufundishe kitu dogo mara nyingi umri unapoenda sana na mtu anapokuwa mahututi huwa anamrudia Mungu kiukweli kabisa ,,,,rejea kisa cha magufuli na umwamba wake wote zile dakika za mwisho alikiogopa kifo mno mpaka akawaita viongozi wa dini wamuongoze sala ya toba.....sasa je ni toba ipi hiyo aliyokaifanya tofauti na ile aliyokaambiwa na Kakobe aifanye ila akaishia kushughulikiwa?
 
Let me confer upon you the appellation of Master Idiot.Ni vichaa tu kama wewe wanaoweza kuuona usemaji ukweli wa warioba ni kujishushia heshma
 
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Siku zote kuna pande mbili ambazo hukinzana kimtazamo na kimsimamo. Lakini wewe ni lazima uwe na mtizamo hasi kwa kile Mzee Warioba alichokielezea, kwa kuwa upo upande wa waovu!

Hakuna mtu makini ambaye hakuona dosari luluki zilizojitokeza toka kipindi cha uandikishaji, mapingamizi, na hata siku ya kupiga kura. Aidha, kwq mara nyingi tumeshuhudia Jeshi la Polisi likitumiwa vibaya na wanasiasa tena "overtly or covertly"

Kwa kuusema ukweli huu, Mzee Warioba alikosea nini? Ndiyo! Kwa sasa pengine unanufaika kwa mfumo kandamizi uliopo, lakini hakika nakuambia kuna siku ambayo utakuja kulia na kusaga meno .
 
Back
Top Bottom