Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.

Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshimike.

Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!

Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...

Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Zipi hizo hebu zitaje hapa tuzichambue
Screenshot_20241206-000605.png
 
Nikitafuta sana ni kipi signifacant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!

Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.

wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.

By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wewe ni mjinga
 
Kweli kusema ukweli ndiyo kujiharibia heshima? Kama ni hivyo, aiharibu sana maana si heshima bali kumtaka awe chawa.
 
Back
Top Bottom