Pre GE2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
muda mwingine ili mambo yaende ni lazima mambo yatokee, Africa hatuhitaji demokrasia kama wazungu, mambo ya ushoga ndio yanaingia kwa gia ya demokrasia, haki sawa, haki za binadamu mambo mengine kama hayo, haiwezekani nchi zinazopinga mambo ya ushoga kama NORTH KOREA, RUSSIA, CHINA, waonekane watu wabaya, serikali inawajibika kutumia mbinu zozote kuhakikisha utu wa Mtanzania unalindwa.
Kwanza unaelewa hata maana ya demokrasia au umeshikwa akili na ccm?
 
demokrasia ya kazi gani?, CHINA wamepiga hatua kimaendeleo kwa kufuata misingi ya demokrasia za magharibi?, FIKIRI NJE YA BOX, usikariri,
 
South Africa inafuata mfuko wa demokrasia y magharibi, vipi nayo unailinganisha na nchi gani ya Afrika ya mashariki?
 
Here are some statistics about the LGBTQ community in South Africa:
  • Population
    1.4–1.65% of South Africa's population identifies as LGBTI. However, some believe the actual number is much higher.

  • Acceptance
    54% of South Africans believe homosexuality should be accepted by society.

  • Legal rights
    South Africa is the only African country where same-sex marriage and partnerships are legal, and couples can adopt children together. The Constitution outlaws discrimination based on sexual orientation
 
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

Wapi jeshi limeingilia siasa wewe mzee mwenye sura kama Cobra aliyezeeka. Mzee mwanga wewe kutwa kutabiria machafuko nchi hii, kumbe Makonda hakukosea kukuchapa makofi. Kaa lea wajukuu zako sio kutuletea nuski na machafuko yako, watoto wako kunyimwa nafasi tu imekuwa nongwa.
 
Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.

"Polisi ni chombo muhimu sana, ndicho kinalinda wananchi na mali zao na kinatakiwa kifanye kazi na wananchi wote. Katika miaka michache iliyopita tumeliingiza Jeshi la Polisi katika siasa, linatoa matamko ya kisiasa na hii italeta mgawanyiko, wananchi watagawanyika."
View attachment 3168787
Pumbavu kabisa
Wote ni walewale tu hao Kenge ,hawa JWTz si ndio waliozuiwa maandamano ya Chadema enzi za Magufuli kwa kutangaza siku ya usafi ?.
Si ndio hawa wapuuzi walipelekwa Zanzibar uchaguzi wa 2020 kuwapiga na kuwaua wapinzani enzi za maalim seif ?
Mnapata wapi audacity ya kuwashangilia wapuuzi kama hawa ?
Hivi ni kwamba ninyi watanzania hamna akili au mnajichomoa ubongo ?
 
Amesema Viongozi wastaafu wa Ccm wana nafasi ya kujadili na kuokoa jahazi, akawataja kwa majina.... Akasema wao ni wazoefu na wanajua cha kufanya.

Hii inamaanisha nini?

📌2025 kuna watu hawataamini macho yao ✍️
 
Pumbavu kabisa
Wote ni walewale tu hao Kenge ,hawa JWTz si ndio waliozuiwa maandamano ya Chadema enzi za Magufuli kwa kutangaza siku ya usafi ?.
Si ndio hawa wapuuzi walipelekwa Zanzibar uchaguzi wa 2020 kuwapiga na kuwaua wapinzani enzi za maalim seif ?
Mnapata wapi audacity ya kuwashangilia wapuuzi kama hawa ?
Hivi ni kwamba ninyi watanzania hamna akili au mnajichomoa ubongo ?
Wewe Mrundi? sisi wa Tanzania ndio hatuna akili wewe mwenye akili toka kawaambie haya uliyoandika humu. Coward.
 
Toka aanze kuongea public matukio ya aina hii..s there any impact recorded??? mwenye mtindio wa akili ndio anasikiliza hizi garbbage, na juha anakimbia kupost hapa!
Wewe mwenye utindio wa shahaw* madak*n* hongera
 
Amesema Viongozi wastaafu wa Ccm wana nafasi ya kujadili na kuokoa jahazi, akawataja kwa majina.... Akasema wao ni wazoefu na wanajua cha kufanya.

Hii inamaanisha nini?

[emoji419]2025 kuna watu hawataamini macho yao [emoji3578]
Majina yao tafadhali
 
Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.

"Polisi ni chombo muhimu sana, ndicho kinalinda wananchi na mali zao na kinatakiwa kifanye kazi na wananchi wote. Katika miaka michache iliyopita tumeliingiza Jeshi la Polisi katika siasa, linatoa matamko ya kisiasa na hii italeta mgawanyiko, wananchi watagawanyika."
View attachment 3168790
TPDF Always faithful always there for the country not politicians
 
muda mwingine ili mambo yaende ni lazima mambo yatokee, Africa hatuhitaji demokrasia kama wazungu, mambo ya ushoga ndio yanaingia kwa gia ya demokrasia, haki sawa, haki za binadamu mambo mengine kama hayo, haiwezekani nchi zinazopinga mambo ya ushoga kama NORTH KOREA, RUSSIA, CHINA, waonekane watu wabaya, serikali inawajibika kutumia mbinu zozote kuhakikisha utu wa Mtanzania unalindwa.
Unaweza kuruhusu democrasia bila kuruhusu hayo mambo. And yes it possible
Labda uwe na misingi lege lege. Kila nchi ina adopt it own version of democracy according to their values and norms

Si lazima ku copy everything. Vile vile mfumo wa north korea( ambao si mfano mzuri). Bora hata china
Nayo hiyo mifumo ina madhaifu yake, ushoga si threat sana kama watu wanao upigia kelele

Kuna mambo mazito sana yanakwamisha afrika, ufisadi, urasimu, na kukosa uzalendo, elimu duni na mengine pia
 
Back
Top Bottom