Pre GE2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

Ukweli mchungu
 
Unaweza kuruhusu democrasia bila kuruhusu hayo mambo. And yes it possible
Labda uwe na misingi lege lege. Kila nchi ina adopt it own version of democracy according to their values and norms

Si lazima ku copy everything. Vile vile mfumo wa north korea( ambao si mfano mzuri). Bora hata china
Nayo hiyo mifumo ina madhaifu yake, ushoga si threat sana kama watu wanao upigia kelele

Kuna mambo mazito sana yanakwamisha afrika, ufisadi, urasimu, na kukosa uzalendo, elimu duni na mengine pia
mtanzania anakwepa kodi, then analalamika barabara mbovu, huduma za kijamii haziridhishi, HAKUNA HAKI BILA WAJIBU, ushoga huwezi kuona threat now, hii ni mbegu brother inamea taratibu, na inakuja kwa gia hizo hizo za demokrasia,
 
Hii press najua Kuna walionyuma ya huyu Mzee wamelijadili kwa kina wakamtuma Mzee nenda kaseme... 2025 Kuna jambo aisee, nachofikilia nataman kitokee kwakweli
 
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

ukwl humweka Mtu huru ,
 
muda mwingine ili mambo yaende ni lazima mambo yatokee, Africa hatuhitaji demokrasia kama wazungu, mambo ya ushoga ndio yanaingia kwa gia ya demokrasia, haki sawa, haki za binadamu mambo mengine kama hayo, haiwezekani nchi zinazopinga mambo ya ushoga kama NORTH KOREA, RUSSIA, CHINA, waonekane watu wabaya, serikali inawajibika kutumia mbinu zozote kuhakikisha utu wa Mtanzania unalindwa.
Ni ilogical kusema unalinda utu wa mtu kwa kumuua huyo mtu!!
 
Wapi jeshi limeingilia siasa wewe mzee mwenye sura kama Cobra aliyezeeka. Mzee mwanga wewe kutwa kutabiria machafuko nchi hii, kumbe Makonda hakukosea kukuchapa makofi. Kaa lea wajukuu zako sio kutuletea nuski na machafuko yako, watoto wako kunyimwa nafasi tu imekuwa nongwa.
Hivi watu wa CCM mna shida gani yaani kwa maelezo aliyoyatoa mzee mi mpaka mwili ulikuwa unanisisimuka. Kaongea kizalendo sana, tatizo Ccm mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu. Hayo mnayoyafanya linaligharimu sana taifa.

Huyu mzee ana akili kubwa sana na hana uoga na kaonyesha uzalendo mkubwa kwa taifa lake tofauti na kina JK kazi yao kuchekacheka tu kijinga wakati wanaona kabisa nchi inapelekwa hovyo.
 
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

Mungu akamwozee miaka 20 mbele ikimpeza,mzee wa maana sana,sana
 
Toka aanze kuongea public matukio ya aina hii..s there any impact recorded??? mwenye mtindio wa akili ndio anasikiliza hizi garbbage, na juha anakimbia kupost hapa!
Ukiambiwa umenyie ni uamuzi wako kumsikiliza aliyekuambia au kumpuuza.
 
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

Tatizo ni kwamba wanapewa amri na amiri jeshi wao mkuu ambaye ni mwenyekiti wa chama Cha siasa kinachoongoza serikali
 
Back
Top Bottom