Rasimu ya kwanza. AmenTusizunguke mbuyu,tuanzie kwenye Rasimu ya pili ya Tume ya Jaji Warioba
Hicho kikosi KAZI Cha mukandala na Zito hakijaapa popote. Waache usaniiJaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.
Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.
Chanzo: ITV habari
Baba mdogo !!Huyu babu anafaa sn kuwa baba wa taifa
No baba wa taifaBaba mdogo !!
Ndiyo utoke sasa huko kwenye unyonge wakoWatu wa kipato cha chini hawana chao awamu hii.
Wenye nafasi ni wenye pesa na wawekezaji.
Hivi Hapi ni mtoto wake?Huyu babu anafaa sn kuwa baba wa taifa
Walishawahi kuwa na Chao lini na awamu gani? Au unataka kuwakumbusha yule aliyepora korosho zao? Wakapiga MOSHI MWEUPE WQKAMALIZA KAZI.
MTWARA KUCHERE
Ameongea point lakini pia amekosea. Kwa kusema hivyo ina maana ameikubali uhalali wake.Mzee kaongea pointi tupu
Wanafanyaje KAZI bila KIAPO chochote.Ameongea point lakini pia amekosea. Kwa kusema hivyo ina maana ameikubali uhalali wake.
Hiki kikosi kasi hakistahili kuwepo unless kipo hapo kwa ajili ya kumsaidia Rais mawazo kuhusu katiba lakini hakipo kisheria na pia hakina uwakilishi wa mzuri. Ni watu tu wanachaguanachaguna kwa jinsi wanavyojua wenyewe ..... Ni KIKOSI KAZI CHA ULAJI......!!
Ni tactics za kila Rais aliyeko madarakani kuhakikisha kuwa anaendelea kuitumia katiba iliyopo kubaki madarakani.Kila siku itakuwa kazi ya kukusanya maoni.
Yalianza kukusunywa na Tume ya Nyalali.
usinizoee sawa? Muda sio mrefu utakuja na mafuta kwenye sikio.Uwe unatumia akili basi
Kwani Anawakopesha kwa lazima ,
Nampa hongera kwa kuwekeza akiba yake ili isaidie na watu wengine
Ishu siyokupendekeza maoni ishu ni saa ya kuandika ikifika vitu vitasukwa kisomi nawasomi waliopo jikoni kwa ajili ya matumbo yao.warioba naye mwogamwoga tu si aseme tuendelee tuliposhia kwenye ile rasimu yakeJaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.
Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.
Chanzo: ITV habari
Mnalazimishwa? Mnaenda kwa hiyari yenu?Huyo akiongea unaweza dhani mtu,anamiliki kampun ya mikopo platnum credit,walimu wanaumizwa kule,huyo jamaa mla migebuka hamna kitu,proff nae wale wale
Siamini kwamba maoni ya wananchi yanaweza yakawa mazuri zaidi kuliko maoni ya serikali. Ila katika kuhakikisha kwamba kila mtu anashirikishwa labda ni wazo zuri kupata maoni ya wananchi. Vile vile haita pendeza kama tukikwama pale pale kwenye muundo wa serikali bila kuwa na uchunguzi ambao utaonesha kwa uhalisia kama serikali tatu ni bora kuliko serikali mbili.Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.
Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.
Chanzo: ITV habari
Mahela ya tume yapo mengi tu !! Hakuna wasiwasi tangu enzi za Jk tume zipo tu na pesa zipo tu !!Ni tactics za kila Rais aliyeko madarakani kuhakikisha kuwa anaendelea kuitumia katiba iliyopo kubaki madarakani.
But this time around is even worse ... wamekusanyana kusanyana tu ......!!
w=sikubaliani na Warioba, ukikusanya kwa kila mtu, katiba haitaandikwa leo, itakaa miaka hata kumi. kuna watu mtaani huko ukiwaambia watoe mchango kwenye kutengeneza katiba hata hawajui nini maana ya katiba, wao wanachojua ni maisha yarahisishwe mtaani wapate pesa tu basi. sasa ukitaka kila mtu mtaani atoe maoni, basi weka semina hata kwa mwaka mzima kwenye tv na radio, uwe unaelimisha jamii kuhusiana na katiba, at the end ndio uwaambie watoe maoni. nje ya hapo, wanaweza kuwakilishwa tu na wale wenye uelewa. huu ndio ukweli mchungu.Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.
Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.
Chanzo: ITV habari