Jaji Warioba: Kikosi kazi cha Profesa Mukandala kikusanye maoni ya Wananchi wa kawaida siyo Watu maarufu pekee

Jaji Warioba: Kikosi kazi cha Profesa Mukandala kikusanye maoni ya Wananchi wa kawaida siyo Watu maarufu pekee

Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.

Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.

Chanzo: ITV habari
Hicho kikosi KAZI Cha mukandala na Zito hakijaapa popote. Waache usanii
 
Kila siku itakuwa kazi ya kukusanya maoni.
Yalianza kukusunywa na Tume ya Nyalali.
 
Walishawahi kuwa na Chao lini na awamu gani? Au unataka kuwakumbusha yule aliyepora korosho zao? Wakapiga MOSHI MWEUPE WQKAMALIZA KAZI.
MTWARA KUCHERE

Ndo kamfano kako hako. Na Sisi tuliolipwa korosho zetu. Kuna mambo mengi sana mtu wa chini Kama Mimi nilifaidika ambayo kidogo sasa napata changamoto. Na Shida sio Mama Samia. Bali wewe na mjomba wako ambao mpaka mkemewe ndo mnafanya kazi.
 
Mzee kaongea pointi tupu
Ameongea point lakini pia amekosea. Kwa kusema hivyo ina maana ameikubali uhalali wake.

Hiki kikosi kasi hakistahili kuwepo unless kipo hapo kwa ajili ya kumsaidia Rais mawazo kuhusu katiba lakini hakipo kisheria na pia hakina uwakilishi wa mzuri. Ni watu tu wanachaguanachaguna kwa jinsi wanavyojua wenyewe ..... Ni KIKOSI KAZI CHA ULAJI......!!
 
Wanafanyaje KAZI bila KIAPO chochote.

Kwann wasiapishwe kama Wana Nia njema.
 
Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.

Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.

Chanzo: ITV habari
Ishu siyokupendekeza maoni ishu ni saa ya kuandika ikifika vitu vitasukwa kisomi nawasomi waliopo jikoni kwa ajili ya matumbo yao.warioba naye mwogamwoga tu si aseme tuendelee tuliposhia kwenye ile rasimu yake
 
Rasimu ya II ya Warioba ipo hakuna haja ya kupoteza muda maoni ya mwanzo yaligusa kila jamii.
 
Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.

Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.

Chanzo: ITV habari
Siamini kwamba maoni ya wananchi yanaweza yakawa mazuri zaidi kuliko maoni ya serikali. Ila katika kuhakikisha kwamba kila mtu anashirikishwa labda ni wazo zuri kupata maoni ya wananchi. Vile vile haita pendeza kama tukikwama pale pale kwenye muundo wa serikali bila kuwa na uchunguzi ambao utaonesha kwa uhalisia kama serikali tatu ni bora kuliko serikali mbili.
 
Namkubali sana huyu mzee,Mungu amjaalie afya tele[emoji1374]
 
Ni tactics za kila Rais aliyeko madarakani kuhakikisha kuwa anaendelea kuitumia katiba iliyopo kubaki madarakani.

But this time around is even worse ... wamekusanyana kusanyana tu ......!!
Mahela ya tume yapo mengi tu !! Hakuna wasiwasi tangu enzi za Jk tume zipo tu na pesa zipo tu !!
 
Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.

Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.

Chanzo: ITV habari
w=sikubaliani na Warioba, ukikusanya kwa kila mtu, katiba haitaandikwa leo, itakaa miaka hata kumi. kuna watu mtaani huko ukiwaambia watoe mchango kwenye kutengeneza katiba hata hawajui nini maana ya katiba, wao wanachojua ni maisha yarahisishwe mtaani wapate pesa tu basi. sasa ukitaka kila mtu mtaani atoe maoni, basi weka semina hata kwa mwaka mzima kwenye tv na radio, uwe unaelimisha jamii kuhusiana na katiba, at the end ndio uwaambie watoe maoni. nje ya hapo, wanaweza kuwakilishwa tu na wale wenye uelewa. huu ndio ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom