Jaji Warioba kujiuzulu tume ya mabadilko ya katiba

Jaji Warioba kujiuzulu tume ya mabadilko ya katiba

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
867
Kuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji Warioba yu mbioni kuachia ngazi.
 
Tetesi umezisikia wapi mkuu? Najua hata tetesi zina source.
 
Kama ni kweli anashinikizwa c tu na ccm na taasisi yoyote ile,basi uamuzihuo ni wabusara sana kwa taifa.na asiishie tu kujiudhulu bali atueleze bila kumumunya maneno na nani na sababu ni nini.
 
Bora na atakumbukwa daima!

Sio kina Sitta kazi kulalama tu badala ya kujiuzulu
 
Nimesikia kutoka kwa ndugu wa mmoja wa commissioners wa tume ya mabadiliko ya katiba
 
Bora angejitunzia tu heshima mzee wetu, Wanakompeleka siko. Huku wengine wanawaponda wazee katika kutoa michango hasa ya muungano kwa kuwa eti wao wameufaidi huku wakitaka vijana wajidili na kuamua wakitakacho. Wakajisahau kuwa mwenyekiti huyo ni miongoni mwa kundi la wazee tena wenye hekima.
 
Kuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji warioba yu mbioni kuachia ngazi.
Umeongea naye lini na ulikutana naye lini.
 
Siku hizi umbea mpaka kwa wanaume kazi tunayo,sasa huyu naye mwanaume kazi tunayo.
 
Mkuu kwani Warioba ndiye anayetaka Serikali tatu au ni wananchi?

Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?
 
Back
Top Bottom