Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi baada ya nyerere kufa huwezi kufikiri vyengine?Warioba kwa 'busara zake' ndiye mwenye kutaka serikali tatu.Mwacheni huyu mzee aende zake.. Msimamo rasmi wa 'mzee' Nyerere baada ya dhahama ya G55 ilikuwa serikali mbili kuelekea serikali moja na hili halijawahi kubadilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) hadi leo.Wakati wenzetu wanajitahidi kuwa wamoja sisi tunataka kujitenga..
Umeme tumewapa bure,hamlipi
Ajira mnapata Bara
Mikopo kwa wazanzibar wanapewa
Wanasoma vyuo vya bara wakati hamna Mbara anaesoma Zanzibar
Kila kitu mnapewa bure kama mwanamke lakini hamtosheki
Muungano huu ni sawa na kubeba gunia la mavi mgongoni ufe tu hautusaidii kitu
Hakuna tutakachopoteza ukivunjika wala hamna tunachopata ukiwepo kelele tu Kwendaaaaaaaaaaa
Tetesi umezisikia wapi mkuu? Najua hata tetesi zina source.
Teh, teh teh...kazi kweli kweli.It's rumours from unknown source. Kazi kweri kweri
Hapana , labda kaogopa kauli ya katibu wa uenezi wa sisiemu nopa nawaiye ya wazee wanofikiria serikali tatu kufaa, naye anapenda kuishiKuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji Warioba yu mbioni kuachia ngazi.
Jibu ni A tena kubwa sanaa
Tanganyika weka majimbo 10 chini ya Magavana, Zanzibar weka majimbo 2 tu yani unguja na pemba china ya magavana pia basi. wabishi wote... juu ya serikari moja wape elimu ya utambuzi na umhimu wa serikari moja
It's rumours from unknown source. Kazi kweri kweri
hahahaaa.....hiyo nazani ataiweka kesho....Wewe hujasikia tetesi nyingine wananchi wanataka kujiuzu?
Huyu anawaangusha wanasheria wenzake.
Warioba kwa 'busara zake' ndiye mwenye kutaka serikali tatu.Mwacheni huyu mzee aende zake.. Msimamo rasmi wa 'mzee' Nyerere baada ya dhahama ya G55 ilikuwa serikali mbili kuelekea serikali moja na hili halijawahi kubadilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) hadi leo.Wakati wenzetu wanajitahidi kuwa wamoja sisi tunataka kujitenga..
Hiyo yako ya kukutana lini si hoja ya G Thinker unajishusha sana uliza sababu, we ukoje?????Umeongea naye lini na ulikutana naye lini.