Jaji Warioba kujiuzulu tume ya mabadilko ya katiba

Jaji Warioba kujiuzulu tume ya mabadilko ya katiba

Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?

Hiyo itakata mzizi wa fitina! na hakuna atakae laumiwa.
 
Wanaoitaka tanganyika ni watanganyika, sio warioba peke yake, warioba amewasilisha maoni ya watanganyika.
 
Akijiuzulu itakuwa heshima zaidi kuliko kusaliti utafiti waliofanya kwa wananchi
 
akijiuzulu ndo vizuri kwa sababu tutajua moja na wananchi wote tutaungana kuingia barabarani kuindoa ccm madarakani tunacho taka ni serikali tatu kwisha au moja
 
Alafu utasikia "tumlazimishe Warioba serikal mbil il iweje? kama ameamua kujiuzulu ameamua kwa matakwa yake binafsi, na mjadala wa katiba mpya uko pale pale, hao wanaoleta uchochezi tuwapuuze, hawaitakii nchi yetu amani'. Hapo misri itakuwa cha mtoto.
 
Kuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji warioba yu mbioni kuachia ngazi.
Hivi hata kama ni kwa utashi wa CCM, mwenyekiti Warioba anao uwezo wa kubadili rasimu liyokwishasambazwa?
 
NDIO, baada ya mchakato wa mabaraza ya katiba unaondelea sasa RASIMU nyengine itatolewa.
 
Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?

Ilikuwa kwanza waulizwe wananchi wanautaka huo muungano,zanzibr hatutaki hata kuusikia cjui kwa wadanganyika.
 
akijiuzulu ndo vizuri kwa sababu tutajua moja na wananchi wote tutaungana kuingia barabarani kuindoa ccm madarakani tunacho taka ni serikali tatu kwisha au moja
nini maana ya kupitia rasimu? Warioba katoa rasimu waatu waipitie watoe maoni! Wakubali au wakatae sasa yeye ajiuzuru kwa lipi?
 
Hakifanya hivyo itakuwa kamba kwa ccm! Warioba Nchi kwanza vyama baadaye!
 
Kuna tetesi kuwa kutokana na kushinikizwa na chama tawala kubadilisha mapendekezo ya rasimu ya katiba, Jaji warioba yu mbioni kuachia ngazi.

Yaani issue nzito kama hii hata source ya kitetesi-tesi hutoi? ukithibitisha rudi jamvini
 
Swali zuri sana. Rasimu imetokana na maoni ya wananchi. Kama vipi tuanze na hili tuone wananchi wanaaamuaje?. Swali liwe hivi: Chagua jibu moja tu, unataka serikali (a) 1 (b) 2 (c) 3?

Jibu ni A tena kubwa sanaa

Tanganyika weka majimbo 10 chini ya Magavana, Zanzibar weka majimbo 2 tu yani unguja na pemba china ya magavana pia basi. wabishi wote... juu ya serikari moja wape elimu ya utambuzi na umhimu wa serikari moja
 
Mtu ukikurupuka na fikra zako huko unakuja humu unasema eti tetesi. Hicho chama tawala kingetaka kumshinikiza kingefanya hivyo kabla rasimu haijatoka. CCM wanachofanya ni kutoa maoni yao kama ambavyo vyama vingine vinafanya. Kuna vyama vingine vimetangaza kuzunguka nchi zima kuwashawishi wananchi waingize maoni yao kwenye katiba mbona hamsemi hivyo navyo vinaishinikiza tume?
 
Kama atafanya hivyo atakumbukwa daima kuliko kuendelea kufanya mambo ambayo siyo maoni ya wananchi.
 
Mkuu kwani Warioba ndiye anayetaka Serikali tatu au ni wananchi?
Warioba kwa 'busara zake' ndiye mwenye kutaka serikali tatu.Mwacheni huyu mzee aende zake.. Msimamo rasmi wa 'mzee' Nyerere baada ya dhahama ya G55 ilikuwa serikali mbili kuelekea serikali moja na hili halijawahi kubadilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) hadi leo.Wakati wenzetu wanajitahidi kuwa wamoja sisi tunataka kujitenga..
 
Back
Top Bottom