Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 735
Serikali 3 ndiyo jibu.Nchi moja inaweza kuwa na serikali 2. Nchi mbili zinaweza kuungana kuwa na seikali 1 ,3 ,4,5....... na kuendelea. Kama nchi mbili zimeungana na kubaki na seikali mbili? Ni kwa nini zimeungana in the first place? Kwa sababu hata kabla ya kuungana kwa ujumla nchi hizi mbili zilikuwa na seriali 2! Muungano wa nchi mbili au kumi unaweza kuleta serikali 1 au serikali 3 kwa nchi 2 na 11 kwa nchi 10
Formula ikiwa n+1, n ikiwa ni idadi ya nchi zinazo ungana na katika special conditions n inaweza kuwa 0 sifuri
Kiuzushi nchi 2 zinaungana n kuleta serikali mbili moja ya nchi mojawapo na nyingine ya muungano. Hii ni aina ya muungano wenye nia ya kugandamiza watu,kuleta mifarakano na kuzuia maendeleo ya wananchi wake walio wengi ili kujenga TABAKA LA VIONGOZI MASULTANI ZAMU