bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Pole sanaIwe nchi moja visiwani iwe Jimbo Tu kama Arusha! nguvu uchumi Arusha ni kubwa kuliko Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaIwe nchi moja visiwani iwe Jimbo Tu kama Arusha! nguvu uchumi Arusha ni kubwa kuliko Zanzibar
Tunaposema tuunde mfumo wa serikali 3 ni hoja nzuri sana, nina maswali hapa:
Litakuwa jukumu la nani kuendesha gharama za serikali ya tatu ya Muungano?
Je, serikali ya Z'bar wataweza kusimama wenyewe?
Au zigo lote litaiangukia serikali ya Tanganyika?
Serikali ya Muungano itakuww na vyanzo gani?Serikali ya muungano itakuwa na vyanzo vyake vya mapato.
..Serikali za Tanganyika na Zanzibar zitakuwa na vyanzo tofauti vya mapato.
Serikali ya Muungano itakuww na vyanzo gani?
Serikali ya Mapinduzi ya Z'bar wana budget yao..hakuna serikali duniani isiyokuwa na vyanzo vya mapato.
..sehemu ya kodi itakuwa inakwenda kwenye serikali ya muungano, na nyingine inabaki kwa serikali washirika.
..mfano mwingine ni kama tukiamua bandari ziwe za muungano, basi makusanyo yote bandarini yatakuwa mapato ya muungano.
NB:
..kwani sasa hivi serikali ya muungano, na ya Zanzibar, zinatoa wapi mapato yake?
Serikali ya Mapinduzi ya Z'bar wana budget yao
Lakini kwenye hiyo budget kuna Z'bar's General Budget Support (GBS) kutoka serikali ya muungano au mfuko wa muungano (The United Republic of Tanzania)
Ina maana tukiwa na serikali tatu Z'bar hawatafaidika tena na huo mpango wa GBS. Itabidi wasimame wao kama wao.
Na kama haitoshi itabidi pia wachangie kwa kushirikiana na serikali ya Tanganyika kufanikisha uendeshaji wa serikali ya muungano
Unaona mambo yanavyokuwa magumu kwa Z'bar
Kutakuwaje na GBS kwa Z'bar na Tanganyika wakati tayari ni serikali 2 tofauti?..kutakuwa na GBS kwa Tanganyika na kwa Zanzibar.
..serikali 3 zitaweka mambo yote ktk uwazi na kuzingatia taratibu.
..kitakachobadilika kwa kiwango kikubwa ni huku Tanganyika ambako itabidi tuvue koti la muungano.
Kutakuwaje na GBS kwa Z'bar na Tanganyika wakati tayari ni serikali 2 tofauti?
Kwa hiyo serikali ya Muungano itakuwa na nguvu za kiuchumi kuliko za Tanganyika na Z'bar?..serikali za Tanganyika na Zanzibar zitapokea msaada wa kibajeti toka serikali ya muungano ikiwa zitahitaji msaaada huo.
..kwasababu Tanganyika imevaa koti la muungano hatuwezi kujua inapokea nini, au inatoa nini kwa serikali ya muungano.
Kwa hiyo serikali ya Muungano itakuwa na nguvu za kiuchumi kuliko za Tanganyika na Z'bar?
Serikali kuu itakuwa ipi?..itategemea vyanzo vya mapato vya serikali kuu.
..kutakuwa na kutegemeana kati ya serikali kuu na serikali washirika.
..zaidi kutakuwa na uwazi, na uwajibikaji, ktk uendeshaji wa muungano wetu.
Serikali kuu itakuwa ipi?
Sasa hivi tu uwazi na uwajibikaji ni changamoto
Serikali kuu itakuwa na muundo gani?..nikasema serikali kuu namaanisha ya muungano.
..ni serikali kuu kwasababu ndiyo inayowakilisha / iliyoshika dola ya Tanzania.
Serikali kuu itakuwa na muundo gani?
Hilo suala ni changamoto sana msilichukulie kirahisi hivyo..nadhani mahala pazuri pa kuanzia ni kwenye makubaliano original ya muungano.
..yaliyotajwa humo ndiyo yataelekeza serikali ya muungano itakuwa na muundo gani, na majukumu yake yatakuwa ni yapi.
Hilo suala ni changamoto sana msilichukulie kirahisi hivyo
Kwa nini mpaka leo hiyo miongozo haijatekelezwa..Ripoti za Tume za Nyalali, Kisanga, na Warioba, zimetoa muongozo wa nini kifanyike ili tupate serikali 3.