Huyu Kivuruge angekufa ingekuwa bomba sanaRais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, Kikwete amesema gari lililopata ajali lilikuwa linamilikiwa na rafiki yake ambaye alikuwa akisafiri na watoto wake pamoja na dereva.
Ameongeza kuwa hakuna mtu aliyedhurika kwenye ajali hiyo, huku akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.
View attachment 3468351
Ukiona hivyo ujue people are fed up. Wanatamani hilo genge la majambazi li-perish lote, jambazi mmoja baada ya mwingine!Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, Kikwete amesema gari lililopata ajali lilikuwa linamilikiwa na rafiki yake ambaye alikuwa akisafiri na watoto wake pamoja na dereva.
Ameongeza kuwa hakuna mtu aliyedhurika kwenye ajali hiyo, huku akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.
View attachment 3468351
Weka sawa kichwa cha habari kiendane na habarililikuwa gari lake binafsi,
Watanzania ni ndumilakuwili atakapokufa watamsifia pia kama ilivyo kwa MagufuliYeye hata kama hakuwemo.
Kwa namna watanzania walivyokomenti , akae akijua, Kifo chake kitakuaga na Sherehe KWA Taifa Zima.
Wewe, acha kumlinganisha Magufuli (rip) na mafisadi.Watanzania ni ndumilakuwili atakapokufa watamsifia pia kama ilivyo kwa Magufuli
Siyo vizuriHuyu Kivuruge angekufa ingekuwa bomba sana
Hivi kuna jambo lolote lisemwalo na Kikwete ukaliamini?Ile video mimi sijaona au? Nani alikuwa anakwepwa barabarani? Dereva alikuwa anamkwepa mtu aliyekuwa barabarani? Kwenye msafara?
Ushahidi wa video wanakanusha hivi, imagine ushahidi usio wa video wanavyouchezea
Wauaji huogopa kufa🤣Huyu mzee mbona kama amepaniki?
Au ndo Novena inafanya kazi?