Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 505
- 872
Comments zipo wapi mkuuYeye hata kama hakuwemo.
Kwa namna watanzania walivyokomenti , akae akijua, Kifo chake kitakuaga na Sherehe KWA Taifa Zima.
Comments zipo wapi mkuuYeye hata kama hakuwemo.
Kwa namna watanzania walivyokomenti , akae akijua, Kifo chake kitakuaga na Sherehe KWA Taifa Zima.
Ukiangalia comments za watanzania mitandaon kuhusu hiyo ajali 🤣🤣🤣 muhimu mzee baba kutoka hadharani!!Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.
Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, Kikwete amesema gari lililopata ajali lilikuwa linamilikiwa na rafiki yake ambaye alikuwa akisafiri na watoto wake pamoja na dereva.
Ameongeza kuwa hakuna mtu aliyedhurika kwenye ajali hiyo, huku akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.
View attachment 3468351
Ndio hapo sasa eti leo Magufuli na Polepole ni mashujaa.Watanzania ni ndumilakuwili atakapokufa watamsifia pia kama ilivyo kwa Magufuli
Tulia wewe mkaldayo hakikisha usalama wa mbusii hapo sisini.Wemaaa, wema kumamakoooo
Askari sio mtu?akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.
Mtu tena sio askari eeeh
Yuko USA anakula bata juzi alikua na Billiget juzi hapaHuyu Member kapotelea wapi 🙄
Yuko USA anakula bata juzi alikua na Billiget juzi hapa