GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo mtu wa kukwepa gari yuko wapi? huu uongo toka kwa Rais mstaafu uachwe...
 
Ana wasiwasi gani atulie kama hakuwa yeye au ameshahisi watu walitamani awe yeye?
 
Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo.

Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, Kikwete amesema gari lililopata ajali lilikuwa linamilikiwa na rafiki yake ambaye alikuwa akisafiri na watoto wake pamoja na dereva.

Ameongeza kuwa hakuna mtu aliyedhurika kwenye ajali hiyo, huku akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.

View attachment 3468351
Hahaaha
Uongo aisee
 
Mzee kaanza kufanana akili na Bi mdashi ni huzuni sqna jasusi tena kupitia MI , kutoa ufafanuzi wenye matobo kama huu
 
Ile video mimi sijaona au? Nani alikuwa anakwepwa barabarani? Dereva alikuwa anamkwepa mtu aliyekuwa barabarani? Kwenye msafara?

Ushahidi wa video wanakanusha hivi, imagine ushahidi usio wa video wanavyouchezea

Wanezoea uongo uongo.

Ila Kikwete sasa atajua ni kiasi gani anachukiwa au kupendwa na watu. Apitie comments...!!
 
Taratibu ilikuwa zamani
Sasa hivi yaani sindano ni hapa kwa hapa
 
Taratibu ilikuwa zamani
Sasa hivi yaani sindano ni hapa kwa hapa.
 
Rais mstaafu anatakiwa apunguze misele. Too much is harmful.
 
Rais mstaafu anatakiwa apunguze misele. Too much is harmful.
 
Back
Top Bottom