GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu mzee ajitafakari sana.kwa nini watu wamemchukia ghafla.??
 
Ukiangalia comments za watanzania mitandaon kuhusu hiyo ajali 🀣🀣🀣 muhimu mzee baba kutoka hadharani!!
 
akifafanua kuwa chanzo cha ajali kilikuwa ni dereva kujaribu kumkwepa mtu aliyekuwa barabarani.
Mtu tena sio askari eeeh
 
Dawa imeanza kuingia. Mzee ameshaanza kujua kuwa raia wanamchukia na kumuombea mabaya.

Hata uwe muovu kiasi gani ila siku zote huwa inauma kujua watu wengi katika jamii wanakuchukia na wanakuombea mabaya kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…