Jakaya Kikwete akiwa na Timu ya mpira wa kikapu Dar City nchini Afrika Kusini

Tayari WAZIRI au nasibu WAZIRI au Katibu mkuu wa wizara ya michezo siku za usoni kspatikana. Thabet
 
Madaktari wa Magonjwa ya akili mliopo hapa jf mkimuacha huyu mwehu namna hii iko siku atakuja kumwaga haja kubwa hapa jukwaani

Chukueni hatua haraka
mental illness (complex PTSD)is Incurable/chronic mental disorders, sufferer's death is a relief to the public
 
Kinachosikitisha zaidi, Mwashambwa amekuwa chawa mpaka kiasi cha kumkufuru Muumba. Yaani watendaji wa ushetani, tena wasioomba toba, anataka kuwashikamanisha na Mungu wa haki. Mungu wetu wa haki tunaomba msamaha kwa kuwa jina lako linatukanwa kwa sababu ya tamaa za matumbo yetu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema Sana Humu jukwaani na kula sehemu hapa Nchini kuwa Rais Samia ni Chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa Hapo Alipo kwa kibali maalumu cha Mwenyezi Mungu Mwenyewe.

Rais Samia akikupatia Baraka na kukutakia Heri ni lazima ufanikiwe,ni lazima ubarikiwe ,ni lazima ushinde vita yako ,ni lazima usonge mbele kwa ushindi ,ni lazima uibuke kidedea ,ni lazima uibuke shujaa ,ni lazima. Rais Samia Ni Mama na kiongozi Ambaye ulimi wake na mikono yake imejaa baraka tupu.

Sijapata kuona Rais Mwenye kibali cha Mwenyezi Mungu kama alichonacho Rais Samia . Yaani sijui niseme nini juu ya Rais Samia ili Mpate kunielewa. Huyu Siyo kiongozi wa kawaida . Anaye Mungu ndani yake. Sasa Embu oneneni Dar city huko bondeni inavyofanya vizuri na kuwapa tabasamu na furaha mamilioni kwa mamilioni ya mashabiki wa mpira wa kikapu Ulimwengu kote.

Embu soma hapa👉“Mhe. Rais Mstaafu Kikwete na Dar City Afrika Kusini”

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Panel of Elders - POE), na Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika katika juhudi za kutatua mgogoro wa Sudan Kusini, amekutana leo na Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City inayoshiriki Michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika (Basketball Africa League (BAL) 2026, inayoendelea jijini Pretoria, Afrika Kusini.

Katika mazungumzo na Timu hiyo iliyoambatana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Hasheem Thabit pamoja na Viongozi wengine kutoka Serikalini, Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ameipongeza Timu ya Dar City kwa kufikia hatua hiyo muhimu ya Mashindano, akieleza kuwa mafanikio hayo ni ishara ya kukua kwa kiwango cha Mpira wa Kikapu nchini Tanzania.

Aidha, amewatia moyo na kuwapa ari Wachezaji wa Dar City kupambana katika Mchezo wao unaofuata mnamo tarehe 31 Machi, 2026 kabla ya kufika fainali, akisisitiza umuhimu wa nidhamu, kujituma na kujiamini wanapoingia Uwanjani. "Kwa hatua mliyofikia, nina imani kabisa mnaweza kutinga Fainali na hatimaye kubeba Kombe hili", alisema Dkt. Kikwete akizungumza na Wachezaji hao.

Rais Mstaafu Dkt. Kikwete, ambaye amewahi kuwa Mlezi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) huku akiwa mstari wa mbele katika kuendeleza Mchezo huo wakati wa Uongozi wake, ametumia fursa hiyo pia kutoa pongezi kwa dhati kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Uwekezaji mkubwa unaofanyika katika Sekta ya Michezo nchini. Aidha, ameipongeza Wizara yenye dhamana ya kusimamia Michezo pamoja na Shirikisho la TBF kwa kusimamia vizuri maendeleo ya Mpira wa Kikapu, huku akibainisha kuwa mafanikio ya Timu ya Dar City ni ya Watanzania wote.

Mheshimiwa Dkt. Kikwete yupo nchini Afrika Kusini kwa Ziara ya Kikazi ambapo tarehe 29 Machi, 2026 alikutana na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa, kama sehemu ya kutekeleza majukumu yake ya Kikanda akiwa kama Mwenyekiti wa Jopo la Wazee la SADC, pamoja na jukumu lake jipya chini ya Umoja wa Afrika la kusaidia kutafuta suluhu ya Mgogoro wa Sudan Kusini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3564742
Heading: JAKAYA KIKWETE
Content: SAMIA SULUHU
 
Baba mkwe wako huyo nasikia wewe ni mchepuko wa Ridhwani
 
Tatizo Tunalo Hili
Mleta Afanyiwe Wepesi
 
Timu ilikua inafanya vizuri sana kimya kimya, toka itembelewe na viongozi, imeanza kupoteza kila mechi...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom