Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Japo alikuwa na mapungufu yake mengi tu, lakini ni kweli kabisa ndiye Rais aliyekuwa na nafuu mno linapokuja suala la Demokrasia
 
Kwa kifup kikwete alikuwa ana afadhali kwenye upande wa uvumilivu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni watu aina ya kikwete hawapatkani hovyo hovyo. Itaichukua muda sana Tanzania kupata kiongozi wa karba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…