GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani wilaya ya CCM ndiyo lazima iwe na mgombea mmoja tu?

Logical non sequitur fallacy.
 
Kuna mtoto wa mzaramo au mkwere anasoma kwenye hizo shule? nyie mtabaki kusindikiza na kucheza mbao, hamna akili kabisa, nitajie mzaro au Mkwere tajiri ambaye yupo Arusha au Mwanza ukitoa hizo koo jinzi za mali za umma
 
Mbona hakuna logic sasa. Watu wanalalamika au kushangaa Ridhwani kupita bila kupingwa ndani ya ccm sasa anaposema habari za upinzani anazitoa wapi?

Hakuna aliyesemea upinzani, watu wanashangaa huko huko ccm wanaminyana madogo wao wapite sasa anapoanza kuongelea wilaya ni ya ccm vinahusiana nini?
 
Hiyo ni familia ya waroho na walafi
 
Kuna mtoto wa mzaramo au mkwere anasoma kwenye hizo shule? nyie mtabaki kusindikiza na kucheza mbao, hamna akili kabisa, nitajie mzaro au Mkwere tajiri ambaye yupo Arusha au Mwanza ukitoa hizo koo jinzi za mali za umma
Ngoja nikupuuze.

Bado unaishi zama za mawe za kati kwenye karne ya 21.
 
Baba tapeli, Mama tepeli, mtoto tapeli, familia nzima matapeli. Huyu mzee siku akifa hiyo familia itapata tabu sana, tutagawaga mpaka sendozi na kandambili zao
 
Mzee.mzima hovyo kabisa
 
Si kwa ubora wake RIDHIWANI KIKWETE HUWAHONGA WASHINDANI WAKE.
NINAO USHAHIDI KWA ASILIMIA 100
JAKAYA MRISHO KIKWETE MWANAO HANA UWEZO HUO
UMEKULA UMEVIMBIWA SASA UNATOA USHUZI
 
Vizuri kama anasoma na kusikia malalamiko ya wananchi dhidi ya familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…