GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawana haya hawa! Mradi wanakula tu who cares
 
kuna watu wengne wakuwafanyia assasination kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Laana ya ufisadi imemtoa ufahamu na kufikiri.
 
Enzi za JPM huyu alikuwa amejifungia Msoga kule anakula kula mananasi baada ya kuambiwa asiwashwe washwe mdomo.

Awamu hii ya Mama, amerudi madarakani kupitia mlango wa nyuma.

Sasa anamwandaa riz1 aje achukue nafasi ya Mama 2030 🙌
 
Jpm angetusua huu mmbuyu
Angeuangusha 😄

Ova
 
Ndio maana mkoa wa pwani unongoza kuwa na wajinga na maskini wengi
 
Enzi za JPM huyu alikuwa amejifungia Msoga kule anakula kula mananasi baada ya kuambiwa asiwashwe washwe mdomo.

Awamu hii ya Mama, amerudi madarakani kupitia mlango wa nyuma.

Sasa anamwandaa riz1 aje achukue nafasi ya Mama 2030 🙌
Tangu lini dini Moja ikafululiza Kwenye kiti kikuu?

Labda awe PM
 
Hata 2020 Spika aliyopita alikuwa akipita bila kupingwa ajabu ipo wapi
 
Hapa kushangaa kuna-produce kushangaa. Tumemshangaa kikwete kumbe nae anatushangaa, sasa na sisi tunashangaa yeye anavyoshangaa.. Akisikia tunavyoshangaa anavyoshangaa hapo atashangaa zaidi..
Labda kwa sababu Tanzania Kuna mishangazi inayovaa shangaa
 
Una msongo wa mawazo.

Wai hospitalini haraka iwezekanavyo upatae tiba.

Mzee baba sasa mwenye msongo wa mawazo kati yangu nawe ni nani?

Maana wewe ndio unatupa vijembe kwa mtu hata humjui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…