GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbe tuendelee kushangaa, naona kumbe kushangaa kwetu huwa kunawafikia
 
Hata yule January alikuwa na kiburi hv hv baba ake sasa et WAZURI HAWAFI kweliiiii ?? jk huwezi kuwa mjanja kila siku ni swala la muda
 
Huu ni unakifi na wewe una uma huku unapuliza.
Una mtofautishaje maamuzi ya mama na familia? Wakwanza kumtia hamasa na support wewe unadhani ni nani?

Unamtupia mama mzigo kuisafisha familia akati ni sehemu ya familia unganifu. How comes?
 
Pata picha JK
Huyu mother sijui ni njaa au tamaa kawa kama ndo chipukizi wa chama ndo anachipukia daa
 
Mzee baba sasa mwenye msongo wa mawazo kati yangu nawe ni nani?

Maana wewe ndio unatupa vijembe kwa mtu hata humjui...
Wewe ndo ulieanze ku reply comment yangu tena kwa assumption kwamba niko mbwinde na sijazunguka Tanzania.
Sasa hapo kati ya mimi na wewe nani anatupa vijembe?

Infact wewe ndiye uliyenitupia mimi vijembe kwamba naishi mbwinde ma sijazunguka Tanzania na ukanipa ushauri ambao sijakuomba kwamba nitoke huku mbwinde.

Narudia tena una msongo wa mawazo wai hospitali.
 
Kwa hiyo maneno "Acha ujinga" yameandikwa na AI?

 
Hata Jimbo LA mkewe amepitishwa mwanamke wake mwenyewe hana mpinzani inaonekana watu wanatishwa kuchukua fomu
 
Kwa maneno "Acha ujinga" yameandikwa na AI?
Ni mimi na nlikuwa sahihi kukuandikia vile.

Huwezi kusema Bagamoyo ni mkoa halafu ujione mwerevu, obviously wewe ni mjinga.

Una ujinga wa kutokujua kwamba Bagamoyo si mkoa ni wilaya ndani ya mkoa wa Pwani.

Pia ulipoandika Bagamoyo inaongoza kwa ufukara nikazidi kuthibitisha kuwa wewe ni mjinga.

Bagamoyo kama wilaya haiongizi kwa ufukara.

Kuna wilaya ni fukara kuliko Bagamoyo ukizitaka tutakuatajia.

Sasa nikikuambia uache ujinga nitakuwa nakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…