GE2025 Jakaya Kikwete awashukia wanaoshangaa Ridhiwani kutokuwa na mpinzani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndugu yangu hydroxo naona comment yako ya mwanzo ulijibu kwa haraka na ndio imekupeleka chaka na unazidi kuingia chaka, kwa sababu hakuna mahali nimetaja Bagamoyo kama mkoa...

Sasa ngoja nikufafanulie labda utaelewa kwa nini niliandika nilichoandika ambacho hakikulenga wilaya ya Bagamoyo bali kililenga ukanda wa mikoa ya Pwani kutokea kwenye nukuu ya matamshi yaliyowekwa na mleta mada...

Tazama hii screenshot...


Mh. JK yeye alijikita kuongelea mkoa wa Pwani na wilaya ya Bagamoyo ni mali ya CCM hivyo wana haki ya kumpitisha mtu mmoja pekee wanayemuelewa...

Mimi nukuu yangu nikaitanua zaidi nikilenga mikoa yote ya ukanda wa Pwani kuanzia Tanga, Pwani yenyewe, Lindi na Mtwara na nikaiweka Dar es Salaam pembeni kwamba hii mikoa nayo ni ngome za CCM lakini inaongoza kwa ufukara

Elewa sasa hii mantiki, si lazima kuandika comment ndefu wakati unaweza ifupisha na ikaeleweka na ndio maana walionielewa wengi wameweka "like" isipokuwa wewe pekee ndio umedhania ya kwamba kuna kasoro...

Nadhani sasa utakuwa umeelewa...

 
Mkoa wa pwani na dodoma upi ni maskini zaidi?
 
Tangu lini dini Moja ikafululiza Kwenye kiti kikuu?

Labda awe PM
Kwani Kuna Mtanzania yeyote atakayepinga hilo jambo ikitokea wakubwa wameamua?


Nimewahi kukutana na Riz1 mara kadhaa kwenye mishe mishe za kusaka tonge

Kwasasa yuko na Walinzi wawili, kama sio anaandaliwa kukalia kiti cha enzi hapo Magogoni ni nini?
 

Ndio maajabu ya Musa. Muhaini hashiriki uchaguzi. Ila wanaochaguana wanapambana wao kwa wao
 
H
Baba tapeli, Mama tepeli, mtoto tapeli, familia nzima matapeli. Huyu mzee siku akifa hiyo familia itapata tabu sana, tutagawaga mpaka sendozi na kandambili zao
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo aiponzi familia, yote haya yanaletwa na jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…