Na ile gesi aliyoivuna Jk kule kwetu mtwara iko wapiKipindi cha Mkwere 2005 mpaka 2015 kulikuwa na ukame,schedule maintenance na maboresho ya vutuo chakavu vilikuwa vikifanyika mara kwa mara na ndio maana kulikuwa na mgao wa mpaka masaa 12.
Ila 2015-2020 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zina muogopa Mwenzake kwani alikuwa anazinyima uhuru wa kunyesha.
Maswali magumu sana hata bungeni mawaziri wa nishati huwaga wana ya kimbia.Na ile gesi aliyoivuna Jk kule kwetu mtwara iko wapi
Bora hayo maboresho yasifanyike tu kama awamu ya tano ili kusiwe na umeme wa mgao, maana hayo maboresho yamefanyika sana awamu ya nne na kikubwa tulichokipata ni mgao wa umeme tu sijui kilichoboresheka ni nini.Kipindi cha Mkwere 2005 mpaka 2015 kulikuwa na ukame,schedule maintenance na maboresho ya vutuo chakavu vilikuwa vikifanyika mara kwa mara na ndio maana kulikuwa na mgao wa mpaka masaa 12.
Ila 2015-2020 kulikuwa hamna ukame na mvua zilikuwa zina muogopa Mwenzake kwani alikuwa anazinyima uhuru wa kunyesha.
akitaka tumwache apumzike na yeye aache kiherehere cha ushauri mbovu, tuna tuhuma nzito kwamba yeye na mwanae wanaongoza nchi.Mwacheni mstaafu
Wakiongoza kuna ubaya gani?akitaka tumwache apumzike na yeye aache kiherehere cha ushauri mbovu, tuna tuhuma nzito kwamba yeye na mwanae wanaongoza nchi.
Waulete kutoka wapi?Watuletee umeme
Anakoutoa MakambaKwani Jpm alikuwa anautoa wapi
Uchunguzi ukifanyika unaweza kukuta JK ana utajiri kama wa Sultani wa Qatar.Na ile gesi aliyoivuna Jk kule kwetu mtwara iko wapi
Mstahafu wakati amerudi madarakani muhula wa tatu. Yule mwingine ni kikaragosi cha huyo JK.Mwacheni mstaafu