mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Neno "Megawatt" lilikuwa halijulikani kwa ngwini wengi mpaka Kikwete alipokuwa madarakani kama Rais.
Kipindi cha JK ndiyo tukajua kumbe TANESCO ni shirika linalotegemea makampuni mengine kutupatia umeme. Ndiyo tukajua kumbe bila Dowans, Symbion, IPTL, Richmond hakuna umeme Tanzania.
Magufuli akatuprove wrong. Sasa nasikia Kikwete una ushawishi na Serikali hii, wengine wakisema wewe ndiyo Rais na Mama ni Malkia. Umeme umepotea tena.
Unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?