Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...

In popular discourse—where the term has often been used pejoratively—it has sometimes been used synonymously with demagogy, to describe politicians who present overly simplistic answers to complex questions in a highly emotional manner, or with opportunism, to characterise politicians who seek to please voters without rational consideration as to the best course of action.

The term populism came into use in the late 19th century alongside the promotion of democracy. In the United States, it was closely associated with the People's Party, while in the Russian Empire it was linked to the agrarian socialist Narodnik movement. In the 1960s the term became increasingly popular among social scientists in Western countries, and later in the 20th century it was applied to various political parties active in liberal democracies. In the 21st century, the term became increasingly common in political discourse, particularly in the Americas and Europe, to describe a range of left-wing, right-wing, and centrist groups that challenged the established parties. When in office in liberal democracies, populists have often been responsible for democratic backsliding – also called "democratic erosion" or "de-democratisation" – as they undermine independent institutions like the media or judiciary which they consider hostile to the "will of the people".[1][2]
Source: Populism - Wikipedia
 
Nimekuuliza swali dogo umelikwepa.

Unaelewa Magufuli ana uwezo wa kuchukua ardhi yote ya Tanzania na kumpa mjomba wake. Ndani ya sheria za Tanzania.

Unaelewa hilo?
 
Lakini populism tafsiri yake siyo ,,kupenda sifa“ angeweza kutumia tu neno sifa bila ya populism, ...
Sasa weka maana sahihi ya neno populism kwa uelewa wako, unazunguka zunguka bila kutoa jibu ili tuone kama JK hakuwa sahihi.
 
huyu tulinae ameharibu na anajua kaharibu kwelikweli hana alilofanya zaidi ya kuchezea hela kwenye korosho,kuna Siku ataajiita MASIHI
 
Kuna jamaa alijisifia kuwa kauwa watu ishirini huko marerani leo hii yuko maweni tanga
Inategemea sasa maana hata polisi wanaua majambazi..sasa kauwaje kafika tu sokoni kaanza kufyatua risasi au kaingia kwenye nyumba ya ibada na kuanza kufyatua risasi?
 
Nimekuuliza swali dogo umelikwepa.

Unaelewa Magufuli ana uwezo wa kuchukua ardhi yote ya Tanzania na kumpa mjomba wake. Ndani ya sheria za Tanzania.

Unaelewa hilo?
Swali la kitoto hilo na hicho unachouliza kukujibu mtu na akili zangu ni kupoteza muda.

Jiulize kwa nini asichukue mwenyewe badala yake ampe mjomba ake kisha utapata jibu.
 
Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Tupe tafsiri yy karikiria hivyo na wewe tuambie tafsiri yake ni nn.Humu wengine tuko darasani tunaendelea kujifunza zaidi na zaidi (kuelimishwa).
 
Swali la kitoto hilo na hicho unachouliza kukujibu mtu na akili zangu ni kupoteza muda.

Jiulize kwa nini asichukue mwenyewe badala yake ampe mjomba ake kisha utapata jibu.
Kwanza kabisa, unanyanyapaa watoto.

Baadhi ya maswali mazuri kabisa, huulizwa na watoto.

Imeandikwa hata kwenye misahafu, kilichofichwa kwa wakuu na wajuzi kimefunuliwa kwa watoto na vichanga wanyonyao.

Na pia imeandikwa, waacheni watoto wadogo waje kwangu, maana ufalme wa Mungu ni wao.

Natumia maandiko kifalsafa, si kidini.

Unajiona una akili, lakini hujaweza kuvuka mtihani mdogo tu, wa kutonyanyapaa watoto.
 
Mtu mzima anapouliza swali la kitoto au kujenga hoja ya kitoto inabaki kuwa utoto tu.

Kama na wewe ni mtoto haina shida naweza kukujibu.
 
Mkuu yote uliyoyaongea yapo kwenye sheria. Sheria inaongelea utimamu wa akili wa anayefaa kuwa raisi na hairuhu kukojoa sehemu isiyo choo, akikojoa tu huyo keshavunja sheria. Kumpa mjomba ardhi ni wizi wa Mali ya uma, wizi ni kinyume cha sheria.
 
Mtu mzima anapouliza swali la kitoto au kujenga hoja ya kitoto inabaki kuwa utoto tu.

Kama na wewe ni mtoto haina shida naweza kukujibu.
Ushawahi kusikia au kusoma kitu kinaitwa "Social Contract" katika maisha yako yote kabla ya leo kutoka kwangu kwenye thread hii?
 
Ushawahi kusikia au kusoma kitu kinaitwa "Social Contract" katika maisha yako yote kabla ya leo kutoka kwangu kwenye thread hii?
Kapitie kwanza Political Contract ndio urudi kwenye Social Contract..kinyume na hapo utajichanganya ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…