Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Mkuu yote uliyoyaongea yapo kwenye sheria. Sheria inaongelea utimamu wa akili wa anayefaa kuwa raisi na hairuhu kukojoa sehemu isiyo choo, akikojoa tu huyo keshavunja sheria. Kumpa mjomba ardhi ni wizi wa Mali ya uma, wizi ni kinyume cha sheria.
Unaelewa kwamba rais kama muhifadhi wa mwisho wa ardhi ya nchi hawezi kuiba mali ambayo kapewa yeye kuwa muhifadhi wa mwisho?

Unakubalinkwamba si kika kibaya kisichokubalika kipo katika katiba na sheria, na ndiyo maana tuna Bunge linatunga sheria mpya kila mwaka?

Unaelewa kwamba tungeweza kusema "hizi hapa sheria zote tunazozihitaji, hakuna nyingine zaidi", kungekuwa hakuna haja ya kuwa na Bunge?
 
Kapitie kwanza Political Contract ndio urudi kwenye Social Contract..kinyume na hapo utajichanganya ndugu.
Hujajibu nilichokuuliza na ulichojibu sijakuuliza.

Sheria imemaliza mabaya yote yanayoweza kufanywa na viongozi?
 
Sidhani kama umenielewa. Nimeongelea uwepo wa uliyoyasema kwenye sheria zetu. Sheria za afya zinakataza MTU kukojoa hovyo, raisi ni msimamizi wa ardhi, akimpa mjomba sheria IPO ya kumwadhibu.
 
Sidhani kama umenielewa. Nimeongelea uwepo wa uliyoyasema kwenye sheria zetu. Sheria za afya zinakataza MTU kukojoa hovyo, raisi ni msimamizi wa ardhi, akimpa mjomba sheria IPO ya kumwadhibu.
Let me grant you that for the sake of argument.

Kwa hiyo sheria imemaliza mabaya yote yanayoweza kufanywa na viongozi/ watu?

Unaelewa kwamba kuna majambazi yanatumia sheria kufanya ujambazi wao?
 
Kila mtu ana namna yake ya kutenda kazi! Unaweza ukawa unapiga mayowe lakini unapiga kazi kisawasawa.
 
Let me grant you that for the sake of argument.

Kwa hiyo sheria imemaliza mabaya yote yanayoweza kufanywa na viongozi/ watu?

Unaelewa kwamba kuna majambazi yanatumia sheria kufanya ujambazi wao?
Ndo maana nakuambia hujanielewa. Mm sijakupinga kuhusu ukamilifu wa sheria, nimezungumzia mifano ya kikojozi na wizi kuwa yapo ndani ya sheria.
 
Ndo maana nakuambia hujanielewa. Mm sijakupinga kuhusu ukamilifu wa sheria, nimezungumzia mifano ya kikojozi na wizi kuwa yapo ndani ya sheria.
That is not the larger point I am making. Although we can debate that too. Ndiyo maana nikasema let me grant you kwamba hiyo mifano ni mibovu haifai, for the sake of furthering the argument.

Je, kila baya limekuwa covered na sheria? Obviously not.

Kwa hiyo kuna mabaya ambayo hayako covered na sheria.

Na ndiyo maana tuna Bunge linatunga sheria mpya.

Kwa hiyo, dhana nzima ya kuuliza "kwani rais kavunja sheria gani?" As if kila baya liko covered na sheria, ina makosa.

Kwa sababu si lazima mtu avunje sheria ili afanye kitu kibaya.

Kuna leadership ethics, kuna utamaduni, kuna basic humanity etc. Mambo mengi tu ambayo hayapo kwenye sheria lakini ni mabaya.
 
Ila huyu wa sasa ni kiboko.. soon atalazikisha kuitwa mtukufu.
Mmmmmh mbna tangu mda anaabudiwa? Hujui kuwa n yesu na n kiongozi wa malaika. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujajibu nilichokuuliza na ulichojibu sijakuuliza.

Sheria imemaliza mabaya yote yanayoweza kufanywa na viongozi?
Unajua unachofanya ni kukuza story. Tunachokijadili ni sifa. Hoja ndogo sana.

Ila naona umeingiza hadi masuala nyeti ya ardhi vitu ambavyo viko wazi. Na nilikuonya toka mwanzo kuwa huwezi fananisha suala la kupenda au kutopebda sifa na kujinyea au kujikojolea. Sasa naona unatoka kwenye mada.

Kama vipi anzisha thread nyingine tunayajadili hayo mengineyo ikiwemo sheria,kanuni, katiba na norms katika utawala.
 
Popularise so anafanyiwa na wanaotaka kutangaza ayafanyayo, kwani anajipiga 🤳 selfie!? Mambo aliyoyafanya kwa muda mfupi ndio yanawakuna wenye kamera kumuandama na kutotaka kupitwa Jambo! Ww chuki zako utampata taabu Sana!
 
Huwezi kufuatilia hoja.

Kuna swali hapo juu, linahoji, kwani rais kavunja sheria gani?

Na mimi nalihoji hilo swali.

Kwani rais kufanya kitu kibaya ni lazima avunje sheria?
 
Huwezi kufuatilia hoja.

Kuna swali hapo juu, linahoji, kwani rais kavunja sheria gani?

Na mimi nalihoji hilo swali.

Kwani rais kufanya kitu kibaya ni lazima avunje sheria?
Mi bado nastick kwenye thread ya sifa. Hayo masuala mengine ya kitu kibaya au kizuri ni topic mpya. Yaani topic juu ya topic.
 
Mi bado nastick kwenye thread ya sifa. Hayo masuala mengine ya kitu kibaya au kizuri ni topic mpya. Yaani topic juu ya topic.
Sifa imefanyaje? Elezea kikamilifu bila kuacha vitu vikielea hewani.
 
hii inasaidia nini kwenye ustawi wa nchi? hebu tuacheni kusifia vitu visivyokuwa na tija. mikataba yote mibovu ya madini kaingia yeye, ufisadi ulikuwa juu sana, radar, ubinafsishaji holela etc. hivi ndio vitu vya kuongea sio huo upuuzi sijui wa kutaka sifa kwenye media
 
Jamani Jk alijifananisha yeye na BWM si mtu mwingine kwani JK ni mr Misifa nani asiyemjua
Lakini populism tafsiri yake siyo ,,kupenda sifa“ angeweza kutumia tu neno sifa bila ya populism, ...
Sawa kabisa neno pupolism limetumika sio mahala pake hapo haina uhusiano na misifa. Lakini pia wale tuliosoma Management na leadership zamani miaka ya sabini sijui siku hizi kiongozi bora anatakiwa awe popular yaani (liked, enjoyed, supported by many people) kiongozi ambaye sio bora anapenda kuwa famous ( Known, recognized) etc najua yote inarandama na kujimwambafai tu mwacheni JPM afanye kazi vinginevyo tutahesabu kwamba mmejaa chuki, hofu na wivu wa kike. Hamuwezi kuhutubia bila mafumbo ya kumdhihaki JPM nyinyi mmefanya madudu mangapi mpaka leo gas haijulikani kama ipo Tanzania au hakuna tunasikia gas yote walipewa wachina kufidia gharama za unga sijui unga wa dona, sembe au mtama......
'Kila zama na kitabu chake'

Btw, haipendezi na wala sio afya kuwa na uongozi unaofanana muda wote.

Hata 'nature' hairuhusu.
 
Hu
huyo ndugu aliyesema populism alikuwa anataka kurudia kujimwambafai hakuna tatizo kiongozi kuwa popular ila hatakiwi kuwa famous kajifunzeni leadership pamoja na leadership styles na muache wivu wakike kwa JPM fuatilieni gas kwanza alafu ndio mrudi na populism
 
Inategemea sasa maana hata polisi wanaua majambazi..sasa kauwaje kafika tu sokoni kaanza kufyatua risasi au kaingia kwenye nyumba ya ibada na kuanza kufyatua risasi?
Polisi 99%huuwaraia wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…