Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
We kibwengu acha kujinyea
 
Lakini populism tafsiri yake siyo ,,kupenda sifa“ angeweza kutumia tu neno sifa bila ya populism, ...
Huwez kuelewa uwezo wako ni ulozi tu....by the way Lissu umemuona we kibwengu muuaji
 
Sio gas tu, mauaji ya tembo, vifaru,albino, ukosefu wa maji, huduma mbaya na rushwa kwenye hospital na ofisi za serikali.
 
Populism maana yake siyo sifa, acha kujiokotea maneno ambayo wala hauelewi maana yake, ungeacha tu neno sifa peke yake, kwa maana,,populism“ ina maana nyingine kabisa na wala haifit kwenye ujumbe wako, ...
Kwenye political context is all about seeking cheap popularity from ordinary citizen.This contemplate jiwez character...he is after poor people just to eager his political sentiments
 
Jamani Jk alijifananisha yeye na BWM si mtu mwingine kwani JK ni mr Misifa nani asiyemjua
Huyu JK sijajua ana shida gani na JPM.
Hizi vurumai hajazianza leo. Kinachonishangaza watu wanajenga nyumba moja ila hawaishi kugombea fito.

Kwa wenye akili hiki ni kipindi cha kuacha tofauti zao na kukipigania chama chao.
 
JK amewaacha uchi sana msiba huu, mnatamani asingepata fursa ya kuongea!
Hata yeye kaachwa uchi na Mwinyi

“Mkapa ndiye amefanya kazi kubwa sana kukuza uchumi baada ya kuchukua nchi kutoka kwa Rais Mwinyi ikiwa na uchumi goigoi sana. Alipambana,” -J.M.Kikwete
___________________________

"MAGUFULI Ni wa kipekee Sana, aliikuta nchi iko vibaya Sana kiuchumi yeye ndio katufikisha kwenye uchumi huu mzuri wa Kati"
Rais A.H.Mwinyi.

*Hii inaitwa ukimwaga mboga......🤣*
 
Wewe ndio urudi shuleni, populism ina maana nyingine kabisa labda unachanganya na popularity ambapo ni vitu viwili tofauti, ungetumia tu neno kupenda sifa ingeleta maana uliokusudia, ...
Tatizo lako laanzia kwa aliyekukaririsha
Lakini ukikubali kufunguka kwa kujenga tabia/utamaduni wa kujisomea maeneo ziada, uelewa wako utakua. Anzia contemporary dictionary. Elimu haina mwisho.
 
Unaweza kusifiwa ili uharibu Jakaya Mrisho Kikwete amewashutukia ccm wanafiki.
 
Mkapa alikuwa na elimu na huyu wa sasa ana vyeti kwani Ben Saa nane Yuko wapi?
 
Hii speech ndo iliyoharimu mood ya jamaa- jamaa kasahau kuwa wote wamechaguliwa na Watanzania na ni haki yao kuchagua wanachotaka

Hivi ni kwanini Covid 19 hapa Tanzania haipo fear?
 
Wakati huo magu alikuwa wapi? Hakuwa akiunga mkono na kupiga meza? Sasa Kama si kutaka sifa kitu gani kinamfanya ajitoe ufahamu Sasa?
 
Huyu JK sijajua ana shida gani na JPM.
Hizi vurumai hajazianza leo. Kinachonishangaza watu wanajenga nyumba moja ila hawaishi kugombea fito.

Kwa wenye akili hiki ni kipindi cha kuacha tofauti zao na kukipigania chama chao.
Kwa kuwa magu hana heshima Wala ustarabu
 
Unaweza ukapenda sifa na usiwe populist, unaweza ukawa leftist na ukapenda sifa, hivyo kuwa populist siyo kupenda sifa kwani kupenda sifa ni tabia ya kibinadamu na inaweza kutumika kwa wote hata ambao siyo populist, hivyo kutumia kupenda sifa kama tafsiri ya populism siyo sahihi, ...
 
Kwenye political context is all about seeking cheap popularity from ordinary citizen.This contemplate jiwez character...he is after poor people just to eager his political sentiments

Unaweza ukapenda sifa na usiwe populist, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…