Jakaya Kikwete: Mkapa hakupenda sifa (populism)

Wakati huo magu alikuwa wapi? Hakuwa akiunga mkono na kupiga meza? Sasa Kama si kutaka sifa kitu gani kinamfanya ajitoe ufahamu Sasa?
point yangu watu waongelee vitu vyenye tija sio mambo kama hyo ya sijui kutaka sifa. toa ushahidi kama magu alikuwa anaunga mkono ufisadi, ubinafsishaji usiokuwa na tija, mikataba mibovu ya madini.
 
Kama alikuwa haungi mkono kwa nini hajawaburuza mahakamani waliohusika, yeye si ndo ameshika dola hivi sasa?
 
point yangu watu waongelee vitu vyenye tija sio mambo kama hyo ya sijui kutaka sifa. toa ushahidi kama magu alikuwa anaunga mkono ufisadi, ubinafsishaji usiokuwa na tija, mikataba mibovu ya madini.
Mkuu hivi magu ndo alikuwa Filikunjombe au Mpendazoe?
 
kwani ni hao tu ndio walikuwa wanapinga. kwa mujibu wa mtoa mada hao bdio wale wapenda sifa. watu kama kina magu walikuwa hawapendi sifa

Watu waoga utawaona tu wanapenda kutumia mgongo wa watu kujaribu kufkisha hoja zao.
Wewe ni kati ya watu walozibiwa mrija awamu hii.

Jamaa unaumia na kuteseka sana, subiri miaka 5 siyo mingi tuombe uzima labda atakuja atakaye kufungulia mrija.
 
Kwa hiyo kupinga ufisadi ccm ni penda sifa kwa kuwa ufisadi ni sera ya ccm si ndiyo?
 
Watu waoga utawaona tu wanapenda kutumia mgongo wa watu kujaribu kufkisha hoja zao.
Wewe ni kati ya watu walozibiwa mrija awamu hii.

Jamaa unaumia na kuteseka sana, subiri miaka 5 siyo mingi tuombe uzima labda atakuja atakaye kufungulia mrija.
Kwani ombi la Mtukufu Raisi kutawala milele limekataliwa?
 
Mkapa was a great man, may his soul continues to R.I.P
Was he a great man kwa kusema majimbo yatakayochagua wapinzani hayatapata hela za maendeleo?
Was he a great man kwa kudanganya kuwa Temeke kunavurugu maduka yanachomwa moto? Baada ya Mrema kushinda ubunge alipobanwa akaruka, ooh hamkunielewa.
Was he a great man kwa kusema wapinzani ni mabwege na marofa?
Walio upande wake wanafurahia kauli hizi lakini wa upande wa pili ni shubiri.
 
Watu waoga utawaona tu wanapenda kutumia mgongo wa watu kujaribu kufkisha hoja zao.
Wewe ni kati ya watu walozibiwa mrija awamu hii.

Jamaa unaumia na kuteseka sana, subiri miaka 5 siyo mingi tuombe uzima labda atakuja atakaye kufungulia mrija.

Misamiati kama vile mirija, unyonyaji, mabwanyenye, makabaila ni misamiati ya miaka hiyo ya enzi za ujamaa, tumeshatoka huko
 
Huku kuweweseka ni dalili ya kutotegemea Kama JK angesema ukweli!
Lumumba mmechanganyikiwa kabisaa mnanena kwa lugha 😁😁😁
 
Kwa kazi ya ku shape uchumi uwe private sector driven na ku set pace ya ukuaji wa GDP na per capita, hayo mengine ni yakibinadamu ataenda kuhukumiwa huko alikofika
 
Misamiati kama vile mirija, unyonyaji, mabwanyenye, makabaila ni misamiati ya miaka hiyo ya enzi za ujamaa, tumeshatoka huko
Sawa mkuu lakini kwa sasa vumilia tu miaka iliyobaki ya uongozi wa huyu mwamba michache zamu yenu itakuja kama atakayemfuatia atakuwa mtu wenu au mwenye misimamo tofauti na huyu wa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…