PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Anazungumza kama Chawa. Pia anazungumza kama vile yeye hajawahi kuwa Mkuu wa nchi.

Yaani hii nchi Ukiwa mstasfu unakuwa kama chawa tu. Nakumbuka enzi zile za Magufuli alivyokuwa anawapanga mstari.
 
Hapo kwenye maji Morogoro ni fix. Nadhani hakuna mji wenye shida kubwa ya maji ulimwenguni kama Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…