Hayo maendeleo kila nikiyatafuta siyaoni zaidi naona miradi ya madili tu kurahizisha wizi wa pesa kutoka hazinaMy Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Nakazia tena, ni hivyo mnoHovyo kabisa!!
Kikwete kaliumiza sana taifa hili huyo mtu, haiwezekani mabilion ya pesa yamepotea bunge la katiba halafu imeishia hewani kwa ajili ya kulinda wezi wenzie na yeye hajajutia hata hasara hiyo aliyo liingizia taifa bila outcome yeyoteNakazia tena, ni hivyo mno
Au siyo? Unajua maana ya Maendeleo?Hayo maendeleo kila nikiyatafuta siyaoni zaidi naona miradi ya madili tu kurahizisha wizi wa pesa kutoka hazina
Keka
...
How? Amewanyoosha.Kwani Amsterdam anasemaje?Nakazia tena, ni hivyo mno
Hatuyaoni ndugu tunaona tu samia marathon, samia fashion mpk kwenye mitungi samiaAu siyo? Unajua maana ya Maendeleo?
Nimeona kwenye taarifa za habari akitembelea West afrika na Uganda anasambaza Ujumbe wa Rais Samia.My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
😅😅Jk ndio dalali mfaidikaji mkuu wa huu utawala wa hovyo!.
Mkewe mbunge, mwanae kawa waziri kabisa....
Alipokwa vitu gani? Sasa Magu apore watu yeye kama nani na Ili iwaje?Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.
Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.
NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
Ulitaka uone maendeleo gani Ili uyaone? Na lini uliwahi kuyaona ? Na uliona nini?Hatuyaoni ndugu tunaona tu samia marathon, samia fashion mpk kwenye mitungi samia
Huyo unayemtaja taja wewe, hata mtoto mdogo anajua, yeye ndo fisadi kuu la nchi hiiHow? Amewanyoosha.Kwani Amsterdam anasemaje?
Mimi sipati chochote na Wala silambi miguu ya mtu.Huyo unayemtaja taja wewe, hata mtoto mdogo anajua, yeye ndo fisadi kuu la nchi hii
hata wewe unajua
Ila kwa sababu kupenda kulamba miguu ili upate chochote, kazana kutetea waenda jehanam
Kumbe ni dhambi hao Wakiwa Wabunge,nani aliwaweka? Ni Samia au?Jk ndio dalali mfaidikaji mkuu wa huu utawala wa hovyo!.
Mkewe mbunge, mwanae kawa waziri kabisa....
Kufa kwani nani atapata hasara?Sitaki kuish sana nimegundua uzee unaua akili.
Wewe na Mume wako.Kufa kwani nani atapata hasara?
My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Ndio maana ya chama Cha siasa kuwa na commanding ya Dola.Kama ndivyo, kumbe kulikoni basi matumizi ya maguvu kushinikiza kupitishwa na tunaoaminishwa kuwa ni wanufaika.