Jakaya Kikwete: Ukitaka Nchi Itulie Kamata Wazee

Kwa hiyo nchi haijatulia kwa kuwa January Makamba, Nape na mzee Kinana wametolewa kwenye kazi. Na yeye pia, amewekwa pembeni kidogo kwenye serikali. Hapana huyu mzee aache ujinga.
 
Kwa mfano, wale wanafunzi wa shule chini ya miaka 17 waliosombwa kujiandikisha, siku wakizeeka ukienda kuwaomba ushauri unahisi watakushauri nini?
 
Ukitaka Nchi itulie tukamate wazee?Huo ni uongo mkubwa sana.Nguvu kazi ya taifa Huwa ni vijana na ndiyo Huwa wanaleta mabadiliki katika nchi
 
Kikwete huyu huwa hajielewi kabisa,sasa sijui hapo anazungumzia wazee gani?
 
huku akiweka msisitizo wa kauli aliyowahi kuambiwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwamba ukitaka ‘Nchi itulie kamata Wazee’ akisema ni muhimu kuwatumia Wazee kwasababu wana maarifa ambayo wameyapata katika mapito ya maisha yao.

Wazee waliotajwa na Kambarage wapo katika sura 2

1. Wazee wale wa kawaida. (Rejelea vikao vya wazee na Mwl)

2. Wazee wale walikuwa waaguzi, wapiga ramli, watazama bao, wenye kuroga. (Rejelea simulizi za uhuru na mazindiko yake)

Sasa sijui bwana JK anamaanisha wapi..
 
Nimemuelewa jana jk !

1."Sio kila Mzee ni mwasisi wa chama" Kumbe Kuna wazee mama kawashika lakini sio waasisi wa chama hiki na hawaelewi kitu!

2.Nchi haijatulia coz Mama hajawashika wazee!

3. Na yeye jk anahisi ni muhanga was wasiojulikana japo yeye anajulikana!!

4.Inawezekana kutokutulia kwa nchi ni kwasababu wazee hawajashikwa na kama hajawashika bhasi nchi haitotulia kamwe kuelekea uchaguzi mkuu!!

Mzee jk!
 
Azungumzie mtazamo wake binafsi siyo kuwanukuu Mwalimu Nyerere na Askofu Tutu
 
Ila huyu Mzee, kumbe huu ujumbe ameutoa katika kuzindua kituo cha wazee?!!!. Naomba tusim quote vibaya maana pengine hawazi kama tunavyowaza, maneno aliyoyatoa ni sahihi kwa sehemu muafaka.

Ila kama kuna kingine liko moyoni mwake basi muda utabainisha
 
Umepiga palepale.
 
Ni wazee wa aina ipi watahudumiwa na Petra Elderly Centre na kwa misingi ipi kadi maalum au?
 
Mbona kipindi cha URais wa Kikwete Wazee walidhalilishwa ???!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…