FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Kikwete ni kibaka wa kawaida sana. Hana ujasusi wowote.Yawezekana wewe umezaliwa miaka ya juzi juzi hapa huelewi lolote kuhusu hawa viongozi wakuu wa nchi lakini sijasema Mafugufuli aliuawa yawezekana kifo chake nimatokea ya albadir alizosomewa kwa kuuwa watu hovyo.
Nilitaka kuweka record sawa tu Kiongoziunajirazimisha kuwa hujui ila unajua vizuri tu
Hana diplomasia yoyote huyo mwizi KIKWETE.Wewe na huyo Magufuli wako siasa mmezianza juzi tu hamjui lolote kuhusu system ndio maana huwezi jua chochote kuhusu Kikwete ndio maana mlikuja kichwa kichwa mkadhani mtakuwa juu ya kila kitu.
Lakini amini Kikwete ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu nchi hii na ni Rais mstaafu mwenye nguvu nchi hiií kuliko marais wote walio tangulia ukimtoa Mwl. Nyerere.
Na hata nyerere alilijua hilo fuatilia kwa kukusaidia speech ya Kikwete mwaka 1995 kama ulikuwa umezaliwa siku ya halmashauri kuu ya CCM inapigia kura jina la mgombea urais na Kikwete akishika nafasi ya pili kwa tofauti ya kura 50 tu tena za mchongo dhidi ya Benjamin Mkapa.
Hapo ndipo utajua Kikwete sio wa kispoti spoti kama unavyo mchukulia, ni mwana diplomasia tangu akiwa kijana alishakomaa kisiasa kabla hata hilo jiwe halijawaza kuwa mwanasiasa nadhani kipindi hicho jiwe ndo anafundisha Sengerema huko [emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] makamba huyu shoga anayebanduliwa nyuma?Watu gani hao mkuu? Akina Makamba?
Hahahaaaa nyangumi lilikufukuza kwa vyeti feki.Afadhali yeye hajajijengea uwanja wa ndege kijijini kwao na kugeuza kijiji chake huwa mkoa kama lile nyangumi
Bila Shaka unateseka kutoka kitovuni Chato🤣🤣Kikwete ni kibaka wa kawaida sana. Hana ujasusi wowote.
Anawalaghai mandondocha wake tu mnaomtetea mitandaoni.
Kwa tunaomjua tunafahamu fika, huyo mwizi ni wa kawaida sana.
Hata akibanduliwa kwani anatumia mattercall ya mtu?[emoji23][emoji23][emoji23] makamba huyu shoga anayebanduliwa nyuma?
Wewe hebu acha mchezo!
Huyo makamba atakuwaje vizuri upstairs wakati analiwa puru? [emoji23][emoji23][emoji23]Hata akibanduliwa kwani anatumia mattercall ya mtu?
The guy yuko vizuri upstairs....mtateseka sana, waziri bado tunaye sana.....uzima Tu.
Name of suspect: kikweteKikwete ni kibaka wa kawaida sana. Hana ujasusi wowote.
Anawalaghai mandondocha wake tu mnaomtetea mitandaoni.
Kwa tunaomjua tunafahamu fika, huyo mwizi ni wa kawaida sana mwenye uwezo duni wa kiutendaji na kitaaluma.
Unataka kusemaje?Name of suspect: kikwete
Hatua zilizo chukuliwa?:.... Kubwabwaja mitandaoni na IDs mpya
Kwa hiyo akiliwa puru wewe unaumia au?Huyo makamba atakuwaje vizuri upstairs wakati analiwa puru? [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ni choko. Si ajabu anavaa nepi.
Unajina la mtuhumiwa na huchukui hatua?Unataka kusemaje?
Ni kweli mabwabwa wenzake mna imani nae. Anawawakilisha kwenye mikutano ya mashoga.Kwa hiyo akiliwa puru wewe unaumia au?
Makamba anawatesa mnaanza kumtengenezea zengwe......tuna Imani na waziri wetu.....hata aliwe nini, avae Nepi avae sketi, hatujali......tuna Imani nae
Huna hoja, Makamba anawalaza na viatu.....the next target🤣🤣🤣Ni kweli mabwabwa wenzake mna imani nae. Anawawakilisha kwenye mikutano ya mashoga.
Ole wenu mtuletee shirika la ushoga, tutawafurusha mashoga nyie.
Unajichekesha tu ila nimekubutua na huyo KIBAKA WAKO KIKWETE.Kwanza nicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Una ubavu WA kumshughulikia Kikwete? Kashindwa mwendazake[emoji1787]!
Eti anatulaghai[emoji1787][emoji1787][emoji1787], tumemuelewa Kwa uongozi wake.
Nakuona unatia huruma, wewe wa kumshushua Kikwete? Halafu 🤣🤣🤣Unajichekesha tu ila nimekubutua na huyo KIBAKA WAKO KIKWETE.
Yes indeed, nashughulika nae mtandaoni kwa kumbagaza na kumshushua. Na kumtusi pia.
INAKUCHOMA. Ati jasusi ... nyokoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda jasusi wa ufisadi na uporaji wa rasilimali zetu.
Mwizi wa kawaida sana yule. Hana ujasusi wowote.
Leo weekend we shoga. Kazi tunafanya siku za wiki.Nakuona unatia huruma, wewe wa kumshushua Kikwete? Halafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafuta Kazi ufanye!
Its was a worsest speech ever!
HAKIKA MUNGU NI MWEMA.
Huna ulijualo ingawa unajifanya unajua wakati huna lolote kichwa boksi.Kikwete ni kibaka wa kawaida sana. Hana ujasusi wowote.
Anawalaghai mandondocha wake tu mnaomtetea mitandaoni.
Kwa tunaomjua tunafahamu fika, huyo mwizi ni wa kawaida sana mwenye uwezo duni wa kiutendaji na kitaaluma.