Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Wewe ni mburula Wala hujui kitu na huna uwezo wa kujadili na mimi mambo ya uchumi..
 
Sasa uongozi wa kipuuzi kama wa Jiwe umewahi leta tija sehemu ipi hapa Duniani?
 
Sasa uongozi wa kipuuzi kama wa Jiwe umewahi leta tija sehemu ipi hapa Duniani?

Katika sera ya ccm15 alipokua na ligi na monduli kubwa kabisa ilikua ni kukupambana na ufisadi na nadhani alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mengine ni aliendelea kua waziri wa ujenzi na uchukuzinmpaka anakufa nayo pia inatija labda kama we sio mtumiaji wa meli barabara na anga.
 
Tokea amekufa mpaka leo hivo vyama vimejiimarisha nini?
 
Magufuli alipambana na ufisadi upi? Alimfunga nani kwa ufisadi? Akimpeleka mwanasiasa gani wa CCM au upinzani kwa ufisadi ?
Magufuli huyu aliyepitisha kinga za kutoshtakiwa kwa Spika na Jaji mkuu ndio alipambana na ufisadi?
Huyu aliyeua uhuru wa vyombo vya habari na kujaza bungeni loyalists wake ndio alipambana na ufisadi?
 
Vipi bank ya dunia kuipa Tanzania hadhi ya Taifa lenye kipato cha Uchumi wa Kati?

Rais wa bank alikuwa mpuuzi?
 
Vipi bank ya dunia kuipa Tanzania hadhi ya Taifa lenye kipato cha Uchumi wa Kati?

Rais wa bank alikuwa mpuuzi?
Hakuwa mpuuzi ila alikuwa mjanja Sana maana ilikuwa ni mbinu ya Kuiondoa Tanzania kupata zile faida ambazo Nchi ikiwa kundi la Maskini inapata na ikiwa uchumi wa kati.
 

Hatua za kupambana na ufisadi zipo nyingi tena kwa taasisi kama uraisi ni kubwa mno sio lazima kukamata wala kufunga ila ikibidi kutumika zinatumika pia ila kuna njia nyingi zilitomika kama tamisem kuanzisha OWM Kuipunguzia serikali kuu mzigo na mifumo ya electronic kwajil ya ukusanyaji kodi pia kubana bandari na mikataba isiyo natija kwa taifa kutoka kwa wawekezaji mengine sitozungumza sana maana unaongea kwa chuki na mihemko ya kisiasa
 
Jiwe banah. Akiwa hadharani alikuwa anajifanya hataki kumbe alikuwa na yake!
 
Hapo ndiyo alipambana na ufisadi? Hivi unajua maana ya ufisadi?
 
Wakati wenzako wanatuminisha JK ndo alimuondoa Ngosha wewe wasema hana uwezo huo.

Basi waambie waache kumsingizia Mzee wa watu
 
Hapo ndiyo alipambana na ufisadi? Hivi unajua maana ya ufisadi?

Njia za kujichumia/kujilundikia mali zisizo halali kwa kutumia taasisi au rasilimali za umma.

Na nmesema yapo mengi ila sitoyasema, nahitaji mtu ambae hajajindaa kubisha na hayupo upande wowote ule wala sio mfuasi ndo tuelimishane, we unamihemko ndugu.
 
Hamna mtu aliyepalilia ufisadi kama Magufuli
Kuingilia ofisi ya CAG kinyume na katiba, kujaza bunge zima wabunge ambao ni loyalist kwake, kuua uhuru wa vyombo vya habari, kuteua majambazi kuwa viongozi
 
Hamna mtu aliyepalilia ufisadi kama Magufuli
Kuingilia ofisi ya CAG kinyume na katiba, kujaza bunge zima wabunge ambao ni loyalist kwake, kuua uhuru wa vyombo vya habari, kuteua majambazi kuwa viongozi

Nia yake ilikua nzuri, njia zake zilikua mbaya, adui zake walikua watu waloweka mizizi kwenye hii nchi,puppet's, walofaidika wao wachache badala ya wengi, wenye nguvu na kauli kuliko ata raisi mwenyewe, tatizo hakua anajua jinsi yakupambana nao, inshort hakua smart.

Uyo Jiwe hakua na utofauti na waziri mkuu kipindi cha Mwalimu, nia zao zilikua nzuri ila njia zao ndo zilikua mbaya maana hawakua smart.

Kama issue za ujangili,richmond,escrow,epa ant etc vingetokea kipindi chake ningesema uyu mtu ni smart, kwa bahati mbaya havikutokea hata chini ya wizara zake sababu alikua mwehu linapikuja kwenye swala la maamuzi.
 
Kipindi cha Magufuli kilijaa ufisadi mkubwa kuliko vipindi vyote sema ndio hivyo alikuwa anatishia na kuwaua waliokuwa wakifichua ufisadi huo refer CAG Assad alisema juna trilioni 1.5 zilikuwa hazifahamiki zilitumikaje
 
Naambiwa mzee alimwambia point blank, "maadam nipo hai, kamwe hilo halitawezekana. Wote tulikuwa tunaambiwa hivyo hivyo. Wewe ni mzuri sana, watu wanataka ubadilishe sheria li uongeze muda. Lazima tuheshimu katiba". Jamaa akanuna sana.

Aliporudi Dar akampigia mzee na kumwambia, mzee nilipokuja Lushoto nimeona unaumwa. Wewe huwezi kut8libiwa vichochoroni. Nimewatuma watu waje wakuchukue ili uje upate matibabu huku. Mzee akaitikia wito. Mzee wa haiba akaenda kumwona hospital8 ile ya siri. Sijui alinusa nini. Akamwambia, mzee rudi Lushoto. Nataka nije kukuona Lushoto, siyo hapa. Wakapiga story, wakacheka, mzee akiwa katika hali ya uchangamfu na afya njema. Mzee akamwahidi, kesho narudi Lushoto. Mzee wa haiba akaondoka kurudi kwake saa 4 usiku. Saa 6 usiku, tukaambiwa mzee hatunaye tena.

Kweli maisha ya mwanadamu ni mafupi sana. Mungu pekee ajuaye mwisho wa kila mmoja.
 
Leo ndiyo tunasikia hilo; je hatukustahili kujua huo msimamo wa wazee kipindi kile? Mambo gani mengine makubwa kwa mustakabali wa taifa letu wazee walishauri hasa kipindi kile nchi ilipokuwa katika giza? Tulisikia kauli na manung'uniko hadharani zikiashiria hofu dhidi ya mitano tena baada ya 2015-2020. Je, hayo yalitokana na ushauri, mtazamo au mapendekezo ya wazee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…