Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Nilifikiri na argue na mtu mwenye uelewa kumbe ni political fanatic...Haya kila la heri...Mh. Samia hahitaji hizi fanatics ku justify urais wake, if at all am in my senses...Mtu yeyote anayejitambua na aliyestaarabika including kuwa educated (which I believe she is), heshima yake haijengwi kwakumchafua mwingine au kukanyaga miguu ya wenzake...Ila kwakua umeamua kuwa chawa basi nifanyeje kama ndiyo culture yako!

Namtahadharisha Rais wangu tu kuwa chawa hawanaga idara kila penye damu wananyonya leo mtamnyonya yeye akitoka mtahamia kwa wengine, such a cheap life style you portray...And I can assure you wewe unaweza kuwa miongoni waliokuwa wanaimba mapambio enzi za JPM pia
Wewe ni mburula Wala hujui kitu na huna uwezo wa kujadili na mimi mambo ya uchumi..
 
Tunachotofautiana mi nawewe we unatumia mihemko ya kisiasa mi niko out of that game nawaza kimantik kos nishaacha kitambo tangu nilipojua siasa its all about kutengeneza imani mioyoni mwa watu juu yako au jina la chama chako na kupata nguvu yao kwa njia yoyote so hua sina uchama wala uteam nachoponda mimi nikuendelea kudeal na mtu weak(dead person) na kujifunika makosa yao kupitia jina lake na watu wanaamini,

All n all raisi anamamlaka makubwa sana kwa hii nchi yetu na tangu mwanzo na hakujawai kua na smooth heritage ya madaraka ilani za chana kila mtu anataka afanye yake ili aprove wrong aliepita tokea kwa MKORONI to MWALIMU, MWALIMU to RUKSA, RUKSA to KONDE JESHI, JESHI to SOGA BOY na SOGA to JIWE.

Simtetei JIWE ila napondea siasa ya sasa kua hali ngumu inaletwa na marehem na ikiwa hayupo na njia za kufanya restorations za aliepita kama zipo sahihi sa malalamiko ya nini?!! Na speaking of iyo habari apo juu siwezi kusikiliza siasa mi natumia mantik na akili za kawaida kwenye kuchagua lipinalipi na kwa yupi sasa apo unataka nifate akili za kina rostam na mwenzake maan wasingeweza kufurahishwa na JIWE na uongoz wake hata sikumoja na ukiangalia nyuma ya kina rostam utajua kunakina nani wenye remote ya movie unayoshabikia mi sio shabiki sitak akili zangu kutumiwa kwa manufaa ya watu fulani ikiwa ki sipati kitu.
Sasa uongozi wa kipuuzi kama wa Jiwe umewahi leta tija sehemu ipi hapa Duniani?
 
Sasa uongozi wa kipuuzi kama wa Jiwe umewahi leta tija sehemu ipi hapa Duniani?

Katika sera ya ccm15 alipokua na ligi na monduli kubwa kabisa ilikua ni kukupambana na ufisadi na nadhani alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mengine ni aliendelea kua waziri wa ujenzi na uchukuzinmpaka anakufa nayo pia inatija labda kama we sio mtumiaji wa meli barabara na anga.
 
Hapa ndipo anapoibua maswali zaidi, kama alikuwa anakubalika na hamuogopi Lissu ilikuwaje akatandikwa risasi zote zile?

Ok hata kama siyo Lissu mbona vyama vya siasa vilinyimwa haki kisheria ya kujiimarisha,

na vipi kuhusu kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani woga huu ulikuwa wa nini kama alikuwa anakubalika na amewagusa wananachi?
Tokea amekufa mpaka leo hivo vyama vimejiimarisha nini?
 
Katika sera ya ccm15 alipokua na ligi na monduli kubwa kabisa ilikua ni kukupambana na ufisadi na nadhani alifanikiwa kwa kiasi kikubwa mengine ni aliendelea kua waziri wa ujenzi na uchukuzinmpaka anakufa nayo pia inatija labda kama we sio mtumiaji wa meli barabara na anga.
Magufuli alipambana na ufisadi upi? Alimfunga nani kwa ufisadi? Akimpeleka mwanasiasa gani wa CCM au upinzani kwa ufisadi ?
Magufuli huyu aliyepitisha kinga za kutoshtakiwa kwa Spika na Jaji mkuu ndio alipambana na ufisadi?
Huyu aliyeua uhuru wa vyombo vya habari na kujaza bungeni loyalists wake ndio alipambana na ufisadi?
 
Vipi bank ya dunia kuipa Tanzania hadhi ya Taifa lenye kipato cha Uchumi wa Kati?

Rais wa bank alikuwa mpuuzi?
Unfortunately tunatofautiana jijsi ya kumtathmni Jiwe..

Binafsi sina shida na kuwanyoosha wapinzani bali Nina shida na handling yake ya Uchumi na biashara..

Kama ni kuwanyoosha wapinzani Nchi karibu zote za Afrika zinawashughulikia na Uchumi unaenda vizuri..

Ila kipindi cha Jiwe sasa ndio kipindi Uchumi wa Nchi uliporomoka, wafanyabiashara waliacha kuwekeza pesa Kwa kuhofia kuporwa, investors walikimbia na sekta nyingi zilikufa kama real estates,ukandarasi, biashara,ajira hakuna,machinga kila sehemu nk..

Jiwe alibakia anategemea bandari ya Dar,mikopo na dhahabu huku akiwa na migogoro na Majirani,jumuiya ya Kimataifa na ndani..

Kwa mazingira haya Jiwe alikuwa ni one of the useless and failures president tuliyewahi kupata..

Vipaombele vyake ilikuwa ni mambo yasiyo zalisha na yasiyo na maana kwenye uchumi na yaliyolenga kupata pesa za upigaji..

Jiwe Kwa kutambua kwamba amefirisika alilazimu aanze mchakato wa kubadili Katiba kwa visingizio vya miradi kuachwa yeye akifa kumbe ni excuse ya failures..

Yaani Jiwe angeendelea kuwa Rais na alivyokuwa na kiburi Leo hii Tanzania ingeshasambaratika kiuchumi kama Zambabwe na lawama kama kawaida zingeenda kwa wapinzani na mabeberu 😁😁..

Kifo cha Jiwe kilikuwa ni kuliokoa Taifa vinginevyo Tungesaga meno na gungekimbia Nchi..
 
Vipi bank ya dunia kuipa Tanzania hadhi ya Taifa lenye kipato cha Uchumi wa Kati?

Rais wa bank alikuwa mpuuzi?
Hakuwa mpuuzi ila alikuwa mjanja Sana maana ilikuwa ni mbinu ya Kuiondoa Tanzania kupata zile faida ambazo Nchi ikiwa kundi la Maskini inapata na ikiwa uchumi wa kati.
 
Magufuli alipambana na ufisadi upi? Alimfunga nani kwa ufisadi? Akimpeleka mwanasiasa gani wa CCM au upinzani kwa ufisadi ?
Magufuli huyu aliyepitisha kinga za kutoshtakiwa kwa Spika na Jaji mkuu ndio alipambana na ufisadi?
Huyu aliyeua uhuru wa vyombo vya habari na kujaza bungeni loyalists wake ndio alipambana na ufisadi?

Hatua za kupambana na ufisadi zipo nyingi tena kwa taasisi kama uraisi ni kubwa mno sio lazima kukamata wala kufunga ila ikibidi kutumika zinatumika pia ila kuna njia nyingi zilitomika kama tamisem kuanzisha OWM Kuipunguzia serikali kuu mzigo na mifumo ya electronic kwajil ya ukusanyaji kodi pia kubana bandari na mikataba isiyo natija kwa taifa kutoka kwa wawekezaji mengine sitozungumza sana maana unaongea kwa chuki na mihemko ya kisiasa
 
Jiwe banah. Akiwa hadharani alikuwa anajifanya hataki kumbe alikuwa na yake!
 
Hatua za kupambana na ufisadi zipo nyingi tena kwa taasisi kama uraisi ni kubwa mno sio lazima kukamata wala kufunga ila ikibidi kutumika zinatumika pia ila kuna njia nyingi zilitomika kama tamisem kuanzisha OWM Kuipunguzia serikali kuu mzigo na mifumo ya electronic kwajil ya ukusanyaji kodi pia kubana bandari na mikataba isiyo natija kwa taifa kutoka kwa wawekezaji mengine sitozungumza sana maana unaongea kwa chuki na mihemko ya kisiasa
Hapo ndiyo alipambana na ufisadi? Hivi unajua maana ya ufisadi?
 
Ana ujasusi gani huyo fisadi wa msoga?

Mnampa ushujaa feki ambao hana japo kiduchu.

Kikwete ni mwizi wa kawaida sana na hana uwezo wa kupambana na Rais wa nchi aliyeshika mamlaka, achilia mbali hata kujaribu tu kumrushia unyoya wa kuku.

Magufuli aliuwawa na watu wenye nguvu, na sio huyo mkwapuzi wa msoga JK.
Wakati wenzako wanatuminisha JK ndo alimuondoa Ngosha wewe wasema hana uwezo huo.

Basi waambie waache kumsingizia Mzee wa watu
 
Hapo ndiyo alipambana na ufisadi? Hivi unajua maana ya ufisadi?

Njia za kujichumia/kujilundikia mali zisizo halali kwa kutumia taasisi au rasilimali za umma.

Na nmesema yapo mengi ila sitoyasema, nahitaji mtu ambae hajajindaa kubisha na hayupo upande wowote ule wala sio mfuasi ndo tuelimishane, we unamihemko ndugu.
 
Hamna mtu aliyepalilia ufisadi kama Magufuli
Kuingilia ofisi ya CAG kinyume na katiba, kujaza bunge zima wabunge ambao ni loyalist kwake, kuua uhuru wa vyombo vya habari, kuteua majambazi kuwa viongozi
 
Nia yake ilikua nzuri, njia zake zilikua mbaya, adui zake walikua watu waloweka mizizi kwenye hii nchi,puppet's, walofaidika wao wachache badala ya wengi, wenye nguvu na kauli kuliko ata raisi mwenyewe, tatizo hakua anajua jinsi yakupambana nao, inshort hakua smart.

Uyo Jiwe hakua na utofauti na waziri mkuu kipindi cha Mwalimu, nia zao zilikua nzuri ila njia zao ndo zilikua mbaya maana hawakua smart.

Kama issue za ujangili,richmond,escrow,epa ant etc vingetokea kipindi chake ningesema uyu mtu ni smart, kwa bahati mbaya havikutokea hata chini ya wizara zake sababu alikua mwehu linapikuja kwenye swala la maamuzi.
 
Kipindi cha Magufuli kilijaa ufisadi mkubwa kuliko vipindi vyote sema ndio hivyo alikuwa anatishia na kuwaua waliokuwa wakifichua ufisadi huo refer CAG Assad alisema juna trilioni 1.5 zilikuwa hazifahamiki zilitumikaje
 
Naambiwa mzee alimwambia point blank, "maadam nipo hai, kamwe hilo halitawezekana. Wote tulikuwa tunaambiwa hivyo hivyo. Wewe ni mzuri sana, watu wanataka ubadilishe sheria li uongeze muda. Lazima tuheshimu katiba". Jamaa akanuna sana.

Aliporudi Dar akampigia mzee na kumwambia, mzee nilipokuja Lushoto nimeona unaumwa. Wewe huwezi kut8libiwa vichochoroni. Nimewatuma watu waje wakuchukue ili uje upate matibabu huku. Mzee akaitikia wito. Mzee wa haiba akaenda kumwona hospital8 ile ya siri. Sijui alinusa nini. Akamwambia, mzee rudi Lushoto. Nataka nije kukuona Lushoto, siyo hapa. Wakapiga story, wakacheka, mzee akiwa katika hali ya uchangamfu na afya njema. Mzee akamwahidi, kesho narudi Lushoto. Mzee wa haiba akaondoka kurudi kwake saa 4 usiku. Saa 6 usiku, tukaambiwa mzee hatunaye tena.

Kweli maisha ya mwanadamu ni mafupi sana. Mungu pekee ajuaye mwisho wa kila mmoja.
 
Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba.

Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila tayarI CCM kulikuwa na utaratibu wa miaka mitano na uamuzi huo uheshimiwe.

======

KUONGEZA MIAKA YA URAIS
Kikwete:
Kuna kipindi walianza sana mjadala wa kubadili katiba sijui iwe miaka 7, pale wazee tulishauriana tukasema hapana, huku wanapotaka kutupeleka hawa sipo.

Nchi yetu ina viwango, hapa ilipofikia heshma yake kubwa ni kuheshimu vipindi viwili vya miaka mitano, wakianza hawa na miaka 7 huko tunakokwenda siko.

Nakumbuka tulikutana wazee na siku hizi hamna haja kukutana hata kwa simu mnaunganisha, tukakubaliana hawa lazima tuwaambie vijana hawa.

Leo ndiyo tunasikia hilo; je hatukustahili kujua huo msimamo wa wazee kipindi kile? Mambo gani mengine makubwa kwa mustakabali wa taifa letu wazee walishauri hasa kipindi kile nchi ilipokuwa katika giza? Tulisikia kauli na manung'uniko hadharani zikiashiria hofu dhidi ya mitano tena baada ya 2015-2020. Je, hayo yalitokana na ushauri, mtazamo au mapendekezo ya wazee?
 
Back
Top Bottom