inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mkapa,kikwete,magu...nani mzanzibar hapo!?Katiba gani, mbona kila baada ya miaka kumi rais akiwa ametoka bara zamu inayofuata ni visiwani wakati haimo kwenye katiba? Mbona rais akiwa mkristo akimaliza muda wake anayefuata anauwa na jina la kiislamu?
Hakuna katiba yoyote waliyolinda sababu ni kwamba miaka ingekuwa mingi sana ya wao kutopata fursa ya kutafuna rasilimali za nchi bila kuhojiwa na mtu mwenye ujasiri
Alikaa maisha. Kifo ndo kilimtenganisha.
Kifo ni lazima na hakina hodi huja hafla, ila magu kama asingekata moto angestahili kutawala hata mpaka mwisho wa umri wake,Alitawala maisha. Alifia madarakani
Mwisho wenu unakuja.Kwa hiyo tuitoe ccm au tusubiri wananchi wajitambue!?
Wazee wengine ni Aibu ya Taifa.Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba.
Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila tayarI CCM kulikuwa na utaratibu wa miaka mitano na uamuzi huo uheshimiwe.
======
KUONGEZA MIAKA YA URAIS
Kikwete: Kuna kipindi walianza sana mjadala wa kubadili katiba sijui iwe miaka 7, pale wazee tulishauriana tukasema hapana, huku wanapotaka kutupeleka hawa sipo.
Nchi yetu ina viwango, hapa ilipofikia heshma yake kubwa ni kuheshimu vipindi viwili vya miaka mitano, wakianza hawa na miaka 7 huko tunakokwenda siko.
Nakumbuka tulikutana wazee na siku hizi hamna haja kukutana hata kwa simu mnaunganisha, tukakubaliana hawa lazima tuwaambie vijana hawa.
Wewe unafaa sana, tisha.Aisee hawa jamaa wa CCM hawafai
Kama yupi mmoja wapo?Wazee wengine ni Aibu ya Taifa.
Hivi huo wizi uko wapi, au lini ulikua haupo?Hapo inatafutwa mbinu ya kuhalalisha wizi unaondelea sasa.
Hakuna jambo litafanyika kuhalalisha matumizi mabaya ya Rasilimali za Watanzania.
Sawa, sasa kama alifanya mambo mazuri ya maendeleo yanayukubaliwa na Wananchi, alikuwa na hofu gani hata akafikiri kujiongezea muda na kuwanyamizisha vyama siasa kwa mtutu.Huyu nae muhuni tu kama wahuni wengine...rasimu aliipiga teke imetufikisha wapi? Kuwa madarakani hata miaka mia sio hoja, hoja ni nini umetufanyia...full stop. Kagame mwaka wa ngapi leo? Mbowe, Museven? Bibi yenu alikaa 70years so hoja sio kukaa madarakani hoja ni maendeleo ya watu na vitu kwa ujumla wake umesimamiaje? Njia za kukuza uchumi unazopita ni zipi?, sera za kuchochea maendeleo zinapishwaje na kusimamiwaje? Ukiwa mbovu kama bi tozo na JKY hata mwaka mmoja tu hutufahi.
Na ile iliyojadiliwa kwa kuundwa bunge maalum la katiba ilikuwa ni nini kama siyo hiyo rasimu unayosema aliipiga teke?Huyu nae muhuni tu kama wahuni wengine...rasimu aliipiga teke imetufikisha wapi? Kuwa madarakani hata miaka mia sio hoja, hoja ni nini umetufanyia...full stop. Kagame mwaka wa ngapi leo? Mbowe, Museven? Bibi yenu alikaa 70years so hoja sio kukaa madarakani hoja ni maendeleo ya watu na vitu kwa ujumla wake umesimamiaje? Njia za kukuza uchumi unazopita ni zipi?, sera za kuchochea maendeleo zinapishwaje na kusimamiwaje? Ukiwa mbovu kama bi tozo na JKY hata mwaka mmoja tu hutufahi.
Inashangaza sana...Daah public confession, duuh Mungu fundi!Kwa tamko hili ni bayana sasa ni kweli ana mkono kwenye serikali hii na kwamba walimzima mwamba kwa kujifanya wao ni wamiliki nchi..............................days are chronologically numbered when time materializes, he will denounce his statement
Hakuna nafshi inayoweza kuitoa nafshi ingine pasipo matakwa ya maulana,tujifunze kuheshimi mapenzi ya maulana maana yeye ndio kila kitu,asipotaka haiwi,akihitaji chake huwa.Duh.waliomudedisha mpambanaji wameanza kujitokeza.mdogomdogo tutawajua wote tu
Kwa tangazo lipi?Kwa tamko hili ni bayana sasa ni kweli ana mkono kwenye serikali hii na kwamba walimzima mwamba kwa kujifanya wao ni wamiliki nchi..............................days are chronologically numbered when time materializes, he will denounce his statement
Mungu amlaze mahala anapostahili aminaMmojawapo aliyetumwa kupima upepo ni Juma Nkamia
Its was a worsest speech ever!Issue ilikuwa serious ile mkuu ,wangeongeza tu ,si uliona MKUUNDUGAI alisema atake asitake watamuongezea.
Endelea ku bold madam, si yetu macho na masikio...Kwa tangazo lipi?
Sasa wewe ulikuwa huelewi kama Kikwete yupo kwenye jipo la wazee wanaofanya maamuzi mazitonya CCM inapobidi?
Wengine huwa mnaandika utumbo tu.
Nani..Nasikia mr clean ndo hakutaka hata kusikia,, alikuwa very firm against it🤫
"Ku bold" ndiyo mdudu gani? Sikuelewi.Endelea ku bold madam, si yetu macho na masikio...