Hii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.Alimuwahi aisee jamaa huwa ni mjanja huyu dah
Kutawala mpaka mwisho wa umri wake maana yake ni nini kama si kutawala mpaka kufa?Kifo ni lazima na hakina hodi huja hafla, ila magu kama asingekata moto angestahili kutawala hata mpaka mwisho wa umri wake,
Nb: msije kusema alitawala mpaka mwisho wa umri wake
Nini kilifuata baada ya majadiliano? Au ndo mahaba niue yanakuziba mpaka akili za kuona mateke ya mjomba wako?Na ile iliyojadiliwa kwa kuundwa bunge maalum la katiba ilikuwa ni nini kama siyo hiyo rasimu unayosema aliipiga teke?
Huyu mzee huwa ana akili nyingi na machale kibaoHii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.
Ni kweli alitawala hadi kifo mbona hilo lilitimiaKutawala mpaka mwisho wa umri wake maana yake ni nn kama si kutawala mpaka kufa?
mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini .
Ana akili zipi huyo msoga band zaidi ya kukwapua mali zetu watanzania?Huyu mzee huwa ana akili nyingi na machale kibao
KweliNi kweli alitawala hadi kifo mbona hilo lilitimia
Kwa hiyo ukiambiwa utaje list ya watu 5 wenye nguvu TZ kwa ushawishi wa pesa na jina, Kikwete humuweki?Ana ujasusi gani huyo fisadi wa msoga?
Mnampa ushujaa feki ambao hana japo kiduchu.
Kikwete ni mwizi wa kawaida sana na hana uwezo wa kupambana na Rais wa nchi aliyeshika mamlaka, achilia mbali hata kujaribu tu kumrushia unyoya wa kuku.
Magufuli aliuwawa na watu wenye nguvu, na sio huyo mkwapuzi wa msoga JK.
DuhJuma Nkamia Kuna siku alitamka maneno haya
"Unajua bwana yule alipenda Sana sifa, na mimi Kuna mambo hayakwenda vizuri nikaona njia ya kuepuka n kumsifia "
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
unajirazimisha kuwa hujui ila unajua vizuri tuHiyo Kauli ikiendelea kukaa hivyo wakipita tena MaRais wengine 2 watu watajua aliyelengwa ni nani?
Kwa hiyo ukiambiwa utaje list ya watu 5
much thanks again [emoji106]TUNAKUSHUKURU MZEE WETU KIKWETE KWA KUKATAA WAZO HILO OVU, KWANI UMELIPONYA TAIFA HILI WAHUNI WALIKWISHA TAKA KUTUPELEKA SIKO!.....much thanks to JK!
hata yeye mwenyewe alikuwa na vyeti feki ndio maana watu walipohoji kuhusu PHD yake walipotezwaNyie vyeti feki mna matatizo sana
halafu kuna matahira mengine huwa yanaamini kweli tuliingia uchumi wa katiMatahira huwa yanaamini kila yanachosimuliwa! Shida sana![emoji36]
Huyo Ben Saanane aliuliwa na MBOWE.hata yeye mwenyewe alikuwa na vyeti feki ndio maana watu walipohoji kuhusu PHD yake walipotezwa
RIP Ben Saanane [emoji22]
Yawezekana wewe umezaliwa miaka ya juzi juzi hapa huelewi lolote kuhusu hawa viongozi wakuu wa nchi lakini sijasema Mafugufuli aliuawa yawezekana kifo chake nimatokea ya albadir alizosomewa kwa kuuwa watu hovyo.Ana ujasusi gani huyo fisadi wa msoga?
Mnampa ushujaa feki ambao hana japo kiduchu.
Kikwete ni mwizi wa kawaida sana na hana uwezo wa kupambana na Rais wa nchi aliyeshika mamlaka, achilia mbali hata kujaribu tu kumrushia unyoya wa kuku.
Magufuli aliuwawa na watu wenye nguvu, na sio huyo mkwapuzi wa msoga JK.
Kulikuwa na matumizi mabaya kuliko yale ya kutumia mabilioni kununua wabunge kwa ajili ya kumsifu mtu mmoja? Na kurudia uchaguzi?Hapo inatafutwa mbinu ya kuhalalisha wizi unaondelea sasa.
Hakuna jambo litafanyika kuhalalisha matumizi mabaya ya Rasilimali za Watanzania.