Hii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.