Jakaya Mrisho Kikwete-The upcoming UNSG

Jakaya Mrisho Kikwete-The upcoming UNSG

Haiwezekani. Rekodi ya haki za binadamu, uwazi, demokrasia vitamkataa. Kura hawezi pata za kutosha
Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua.

Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi
 
Labda wa CCM akaungane na msanii mwenzake Temboman!!!
 
Back
Top Bottom