Jakaya Mrisho Kikwete-The upcoming UNSG

Jakaya Mrisho Kikwete-The upcoming UNSG

United Nations Secretary General
========
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
========
Itakuwa poa na itakuwa heshima kubwa kwa nchi yetu!
Ni ndoto.
No retired president has ever been UNSG.
Most of UNSG have been those who have worked or still working within UN and who knows UN's internal operands very well.

Deputy SG Rose Migiro, as an example, came from outside the system, she failed miserably, system ikamtapika as she had no idea about the system. Tusivyojua tukampokea kwa mbwembwe kama shujaa. Na alipendekezwa na jk
 
Binafsi nitafurahi sana mtanzania mwenzetu kuwa Secretary General

Inasaidia hata kuitangaza nchi kimataifa .Wataijua Tanzania. Kila la heri kama ndoto iwe kweli
 
Cyo kweli Kwan bankmoon,thank Mbeki,guterez wana umri mkubwa kuliko kikwete
Hao wote walichaguliwa wakiwa chini ya miaka 70. Uchaguzi unao kuja JK atakuwa na miaka 75/76.
JK chance yake ilikuwa ni 2017 lakini yeye na Mwendazake zilikuwa hazipandi kipindi iko!
 
JK angeweza kutumia kigezo cha dini kwenye uchaguzi 2017 kwamba hakuna Mwislam aliyewahi kuwa UNSG lakini bahati mbaya kwake rais alikuwa ni Magufuli
 
Hizi hoja ndio utapeleka UN. Una akili kichwani???

Yani utanlendq UN uwaambie tumchague Kikwete kuwa Secretary General ila tupuuze aliyoyafanya kisa waliofanyiwa hivyo walistahili. Umesoma uzi kwanza?
UN hawakai wajinga Kama wewe
 
Bado naendelea kumtabiria makubwa Rais Mstaafu
 
Back
Top Bottom