Jakaya Mrisho Kikwete-The upcoming UNSG

Jakaya Mrisho Kikwete-The upcoming UNSG

Tuwekee hapa criteria za mtu kupewa hicho cheo tuone kama anakidhi viwango, ila kama huwa kinatolewa kiholela, hapo sawa.
 
Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua
Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi
Hakuna kitu.

Mchakato aliouanzisha halafu akauua mwenyewe huko sio kujitahidi, ni kupoteza pesa za walipa kodi bure, kama alijua yeye ni dhaifu angezidiwa nguvu na wenzake CCM hakutakiwa kuanzisha uke mchakato.

Wapinzani kupewa vijimbo viwili au vitatu wakati alichakachua kuingia ikulu 2010 hakuna demokrasia yoyote aliyoipigania.
 
Sasa GT umeanza kuonyesha kuwa wewe si GT hata kidogo. Hapa sasa umemjibu nini mdau, neno hilo si sahihi, GT lazima awe shock absorber uku akiwa na uwezo wa kuhimili mashambulizi na kujibu hoja.

Jaribu kumtafuta Mshana Jnr akupe shule ya kuwa shock absorber.
 
Sasa GT umeanza kuonyesha kuwa wewe si GT hata kidogo. Hapa sasa umemjibu nini mdau, neno hilo si sahihi, GT lazima awe shock absorber uku akiwa na uwezo wa kuhimili mashambulizi na kujibu hoja. Jaribu kumtafuta Mshana Jnr akupe shule ya kuwa shock absorber.
mashambulizi ya hoja huwa yanajibika kwa hoja ila sipendi uhuni.
 
Mark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Rudi kitandani uendelee kuota!!
 
Yani mtu akikaa Kwa shemeji anagonga msosi kiulaini basi Kila kitu anakichukulia hivyo hivyo.
 
Sasa GT umeanza kuonyesha kuwa wewe si GT hata kidogo. Hapa sasa umemjibu nini mdau, neno hilo si sahihi, GT lazima awe shock absorber uku akiwa na uwezo wa kuhimili mashambulizi na kujibu hoja. Jaribu kumtafuta Mshana Jnr akupe shule ya kuwa shock absorber.
Amekuwa GD (GREAT DREAMER)
 
Yani mtu akikaa Kwa shemeji anagonga msosi kiulaini basi Kila kitu anakichukulia hivyo hivyo.
Duh, ila ujana bwana eti unaona fahari kabisa kukaa kwa shemeji yako! Hizi mambo nimekuwa mtu mzima nikaanza kuona tulikuwa tunafanya ujinga kabisa!
 
Bado yuko mbali sana na viwango vya West ambao ndio karata muhimu ya kuchagua Katibu mkuu.
Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua
Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi
 
Mark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Marekani ndio inamuweka mtu inayemtaka kwenye hiyo nafasi na siyo prediction za mtu yeyote.

Halafu sidhani kama ni zamu ya Afrika kutowa Secretary General, Koffi Annan bado tunamkumbuka ametoka hapo si miaka mingi sana.
 
Back
Top Bottom