balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mchakato wa katiba aliuua yeye mwenyewe alipozindua bunge la katiba.Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua
Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi