balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mchakato wa katiba aliuua yeye mwenyewe alipozindua bunge la katiba.Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua
Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi
Hajui english,hajui french impossibleMark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Labda anamaanisha UNSG= United nations Secretary generalNdio nini sasa hii!!
What I have to say to you is,you need to perish the thought because the old man Kikwete will never be the UN General secretary the one who had that chance from Tanzania was S.A.S only.Mark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
hata mm sijamwelewa ni nn alichotakakusema.Ndio nini sasa hii!!
Sawa mkuumashambulizi ya hoja huwa yanajibika kwa hoja ila sipendi uhuni.
Time will tellMark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Mkuu qcha kujitoa ufaham. Unakumbuka ni kikwete aliratibu Jecha.Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua
Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi
Anaharisha tu praaaaaaaaaaaaaaaaUshabugia kande iliyochacha ukavimbiwa unabaki kufikiria vitu vya ajabu ajabu tu. MATAGA bana
Kujitahidi hakutoshi kumpa nafasi. Yani Kikwete umuweke ligi za kina Louis Moreno Ocampo?Kikwete kwa demokrasia na uwazi alijitahidi sana mkuu, alianzisha mchakato wa katiba mpya ila CCM wakaua
Ukitaka kujua hilo tafuta rekodi kisha linganisha rank ya Tanzania kwenye haki za binadamu na uhuru wa habari kipindi cha Kikwete na sasa hivi
Jakaya ni mmoja yuleyule ambaye serikali yake ilimuua Daudi Mwangosi na kung'oa kucha za Dokta Ulimboka. Ndio hiyo serikali alikufa Alphonse Mawazo. Ndio hiyo hiyo ya EscrowKuna jakaya wawili!?
Kofi Annan alikuwa kaoa mzunguMarekani ndio inamuweka mtu inayemtaka kwenye hiyo nafasi na siyo prediction za mtu yeyote.
Halafu sidhani kama ni zamu ya Afrika kutowa Secretary General, Koffi Annan bado tunamkumbuka ametoka hapo si miaka mingi sana.
Kesi ya mwangosi ndiyo useme hapakua na Uhuru wa habari!?..ulimboka alisababisha watu kufa muhimbili,kilichompata alistahiki,muulize baba yako Uhuru wa habari ulikuwaje awamu ya kwanza,tatu na tano...uliza pia lini Uhuru wa habari ulikua mkubwaJakaya ni mmoja yuleyule ambaye serikali yake ilimuua Daudi Mwangosi na kung'oa kucha za Dokta Ulimboka. Ndio hiyo serikali alikufa Alphonse Mawazo. Ndio hiyo hiyo ya Escrow
Umri na Afya utamruhusu Kweli?Mark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Hizi hoja ndio utapeleka UN. Una akili kichwani???Kesi ya mwangosi ndiyo useme hapakua na Uhuru wa habari!?..ulimboka alisababisha watu kufa muhimbili,kilichompata alistahiki,muulize baba yako Uhuru wa habari ulikuwaje awamu ya kwanza,tatu na tano...uliza pia lini Uhuru wa habari ulikua mkubwa
Kwa demokrasia ipi itakayombeba ?? Wazungu wanajua kila kitu kinachofanyika duniani !! Hata ukijificha wapi wanajua tu !!Mark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Mwizi na fisadi mkubwa hawezi kuchaguliwaMark my words and predictions.
I have made my searching and researching and my conclusions are all pinpointing at this gentleman from Msoga.
Hakuna kuzidiwa na mtu au watu wowote wale !! Rais katika katiba hii azidiwe na mtu yeyote !!! Duh! Itakuwa ni maajabu !! Akikubali kuzidiwa ujue yeye mwenyewe ametaka iwe hivyo ! Tusidanganyane bandugu. !!Hakuna kitu.
Mchakato aliouanzisha halafu akauua mwenyewe huko sio kujitahidi, ni kupoteza pesa za walipa kodi bure, kama alijua yeye ni dhaifu angezidiwa nguvu na wenzake CCM hakutakiwa kuanzisha uke mchakato.
Wapinzani kupewa vijimbo viwili au vitatu wakati alichakachua kuingia ikulu 2010 hakuna demokrasia yoyote aliyoipigania.