PostGE2025 Jamaa aliyehusishwa na mauaji ya watu wakati wa maandamano akanusha, anadai kuwa yeye ni dereva

PostGE2025 Jamaa aliyehusishwa na mauaji ya watu wakati wa maandamano akanusha, anadai kuwa yeye ni dereva

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku ya uchaguzi, amejitokeza na kujitetea kupitia video ambazo kwa sasa zinasambaa kwa kasi mtandaoni.

Katika video hizo, jamaa huyo anaonekana akikanusha vikali tuhuma hizo, akisema hana uhusiano wowote na makundi ya kijeshi au kisiasa, na kwamba anasingiziwa.




1762498907424.png
 
Na hivyo ndivyo nyumbu husambaza taarifa za uongo kila kukicha, wameshamuingiza mtu kwenye tuhuma za kijinga
 
Kwa watu tuliosoma Intelligence huyu pia anaweza kua mualifu ndo maana anakwepa camera angeweza kuweka hata leseni yake ya uderava
 
Jana nimeona mtu kama huyo tena kavaa na kofia nyeusi ni kama ni dereva wa basi,hii sura ni common
 
Kama sio yeye ana wasiwasi gani sasa? Zinazooekana ni picha tu bila majina ya wahusika

Imekuwaje yeye bila hata kutajwa jina lake anatoka na kuanza kujitetea?

Labda aseme, mwili wa mtu mwingine ulivalishwa sura yake!

Akumbuke hii, kwamba: Guilty are always afraid!!

Damu ya mtu ikimwagwa huwa hainyamazi. Mwili tu unazikwa na kuoza lakini damu huendelea kupiga kelele kudai kisasi

Asiwe na shaka kabisa. Kama ni yeye, hakika naye atakufa tu!!
 
Hilo wenge Mzee ni yeye huyo
Inatakiwa akatwe pumbu na macho yatolewe, yaan afe taratibu sana
Watanganyika wetu wamekufa vbaya sana😭
 
Back
Top Bottom