PostGE2025 Jamaa aliyehusishwa na mauaji ya watu wakati wa maandamano akanusha, anadai kuwa yeye ni dereva

PostGE2025 Jamaa aliyehusishwa na mauaji ya watu wakati wa maandamano akanusha, anadai kuwa yeye ni dereva

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mnao muona karibu, mwamba auawe tu. Tutajua niyeye au sioyeye kuzimu huko huko.
 
Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku ya uchaguzi, amejitokeza na kujitetea kupitia video ambazo kwa sasa zinasambaa kwa kasi mtandaoni.

Katika video hizo, jamaa huyo anaonekana akikanusha vikali tuhuma hizo, akisema hana uhusiano wowote na makundi ya kijeshi au kisiasa, na kwamba anasingiziwa.
Atulie itafahamika Tu. Hakuna jiwe litakalosimama wima bila kugeuzwa
 
Ni yeye aache uongo hiyo clip ameochukulia magomeni na sio congo
 
Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku ya uchaguzi, amejitokeza na kujitetea kupitia video ambazo kwa sasa zinasambaa kwa kasi mtandaoni.

Katika video hizo, jamaa huyo anaonekana akikanusha vikali tuhuma hizo, akisema hana uhusiano wowote na makundi ya kijeshi au kisiasa, na kwamba anasingiziwa.
Ukute yupo hapo kwa Mafele au Kizimkazi anadanganya kuwa ni Kongo. Mbona hajaweka ushahidi?
 
Engechukua picha yupo hayo maeneo ya Congo ajisafishe vizuri. Anaweza athirika na hausiki.
 
Kila kilichofanyika siku ile kwa upande wa wauaji kilikuwa na makusudi yake. Kuanzia kuvaa jezi ya Yanga, kufanya operation bila kuvaa mask kufunika sura zao, kuingia majumbani na kuua watu, kurusha risasi na mabomu hovyo hovyo kwenye makazi ya watu, nk.

Hakuna lolote kati ya hayo yalifanyika kwa kukurupuka na kila moja lilikuwa na kusudio maalum.
 
Afanyiwe intelijensia ya kufa mtu Ili ikibainika akabuliane na mkono wa chuma kama walivyofanya na wao kwa raia wenzenu.

He must face the reality
 
Back
Top Bottom