Kwani nani kamwambia yeye ndiye anayekuwa kwenye picha? Iweje aanze kujitetea kwa tuhuma ya mtu mmoja tu? Kama kuna mtu alimkabili na kumwambia anafanana na yule kwenye picha, inatosha kukanusha dai hilo mbele ya huyo mtoa tuhuma. Hakuna sababu ya kuingia mtandaoni na kukanusha mbele ya ulimwengu mzima kauli ya mtu mmoja. Labda kama tuhuma imetolewa na watu wengi. Kama ni hivyo, uwezekano kwamba ni kweli utakua kufuatana na idadi ya wanaomtuhumu kuongezeka. Hata hivyo kuna wataalamu wa forensic watakaokuja kubainisha ukweli.Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku ya uchaguzi, amejitokeza na kujitetea kupitia video ambazo kwa sasa zinasambaa kwa kasi mtandaoni.
Katika video hizo, jamaa huyo anaonekana akikanusha vikali tuhuma hizo, akisema hana uhusiano wowote na makundi ya kijeshi au kisiasa, na kwamba anasingiziwa.
Kamtoeni wa ukweli ili tumalizane naye kama sio huyu.Na hivyo ndivyo nyumbu husambaza taarifa za uongo kila kukicha, wameshamuingiza mtu kwenye tuhuma za kijinga
Akikutolea passport yake kuwa alikuwa Lubumbashi utasemaje?Huyo ni mwenyewe
Upumbavu wao hauzidi ule wa chura kiziwi kudanganywa eti kapigiwa kura na watu ml 32!Wapumbavu sana hao jamaa
Upumbavu wao hauzidi ule wa chura kiziwi kudanganywa eti kapigiwa kura na watu ml 32!
Mara sijui waandamanaji wametoka nchi jirani...hiyo ni akili au MATOPE?!.
Ni yeye kabisaaaaa! Hatujakosea maana tulimuona live. Na hao wengine picha zao zinakuja. 9.12.2025 yaani Tisa December tutadili nao na familia zao. Hakika watakiona Cha MTEMAKUNI.Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku ya uchaguzi, amejitokeza na kujitetea kupitia video ambazo kwa sasa zinasambaa kwa kasi mtandaoni.
Katika video hizo, jamaa huyo anaonekana akikanusha vikali tuhuma hizo, akisema hana uhusiano wowote na makundi ya kijeshi au kisiasa, na kwamba anasingiziwa.
Nenda kituo cha polisi kawaambie wamtoe watakupaKamtoeni wa ukweli ili tumalizane naye kama sio huyu.