Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Kwani huyo jamaa nae alikua bikra! Kama nae alishaingia huko anamshangaaje huyo mwenzie
 

Unabusara nimekupenda bure
 
Kama amekula kile kiapo cha kwenye shida na raha, ndio ajue kuwa huo ndo msalaba wake.
 
Reactions: 247
Pole yao
 
Hivi kwa mfano,ulikuwa unamuigizia binti kuwa una maisha mazuri kumbe ni msanii na muongo,hauna gari ulikuwa unatumia ya rafiki yako,hauna nyumba ilikuwa ni nyumba ya ndugu yako,hauna kazi wala mishe mjini ulikuwa unapiga mishe tu za udalali mjini, yaani kwa kifupi ni kabwela mtanashati tu.

Hawa wanawake wa sasa kwa haiba na mitazamo yao,wadhani ataweza kubakia na wewe eti amekusamehe mpange maisha upya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jibu unalo. Kwamba wanawake wapo very serious kwenye kusimamia standards zao na hawafikirii mara mbili kusepa na kuanza upya,ila wewe unafikiria mara mbili pale wanapokwenda kinyume na standards zako.

Sasa mwanamke ameingiliwa kinyume na maumbile,huyo ni mwanamke mwenye tabia ya nzuri na inayokubalika hadi uendelee kuishi nae?

Piga chini tafuta mali mpya,wanawake wanaojielewa wapo kibao huku nje wewe unakaa na takataka.
 
Duh! Inasikitisha
 
Kama anatumia kwa bibi nyau amejuaje mkewe ametumika kwa mpalange?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…