Jamaa amtukana rais Uhuru kuwa ni 'mtoto wa mbwa' lakini yupo yupo tu



Kwa hiyo shida hapo iko wapi, kwa aliyetukana, aliyetukanwa au wewe uliyeumia na kutukana na kutukunwa kwa mwingine?
 
Kwa hiyo shida hapo iko wapi, kwa aliyetukana, aliyetukanwa au wewe uliyeumia na kutukana na kutukunwa kwa mwingine?

Mimi niliyeumia pembeni maana hats wewe ukinitukana huku JF pamoja na kwamba sikufahamu lakini nitatokwa mipovu utakimbia.
 
Mimi niliyeumia pembeni maana hats wewe ukinitukana huku JF pamoja na kwamba sikufahamu lakini nitatokwa mipovu utakimbia.


Uhuru Kenya dont give a shit, he is billionaire, he owns the whole Kenya, you suckas can go to hell, mnaweza kumtukana mnavyotaka na kwenda kulala Mathare huko kwenye mbu, mwisho wa siku anapata whisky yake na kuenjoy maisha taratiibu!
 
Demokrasia ni kuruhusu matusi?
.

Sijasema demokrasia ni kuruhusu matusi. Amesema Matusi hayawezi kumbadilisha kitu. hiyo ndo nukuu katika mikutano yake. Kwa mukhutadha huo nina sababu ya kumuona mdemokrasia

Ni mtazamo wangu. Jikite na mtazamo wako
 
Mtu amtagi Yohana Alcohol basi
 
Bahati nzuri hajataja jina la mtu yeyote. Mambo haya hayahitaji hasira.
 

Yule ni rais na ana watu wanaompenda ndugu jamaa na marafiki. Hao ndiyo watakao chukua hatua. wanaweza kumfanya lolote huyo jamaa mwenye matusi.

Halafu usilinganishe marekani na afrika. kule mtu kuongea mambo ya hovyo kwao siyo shida sana. lakini siyo huku. Uhuru anaweza hata asishughuluke na huyo jamaa mwenye matusi, lakini kuna watu watatoka kusikojulikana (wanaompenda uhuru) watamshughulikia.
 
Hehe, kama utatukana mheshimiwa afadhali usome Sheria kwanza.... Very thin line between freedom of speech and hate speech.

E.g if someone was to say, "This president is so stupid, like all the rest of stupid people in this country"
If the some else said, " This Kikuyu president is so stupid, like the rest of kikuyus in this county"


One of those guys will get away with it in a court of law by claiming freedom of speech, the other guy will be found guilty of hate speech
 
subiri uone...hakuna antakayejishugulisha...uhuru sio mtu wa kukamata kamata watu ovyo
 
Anapoelekea si kuzuri ina maana Mama Ngina ndo mbwa! I expect my lovely lady Passaris to see the kind of a boy she is trying to get involved with! An immature with milk teeth ready to suckle n grow...
 
Mdemokrasia sana huyu jamaa. Sikuwa nakubali hapo mwanzo lakini sasa ninamwelewa vilivyo.
Hivi wewe ukitukanwa mtoto wa mbwa maana yake mama yako ni mbwa, kwako wewe hiyo ndio democracy?


"Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import..[it] should develop according to a particular country"—Nyerere
 
Tunatakiwa tuiunde upya democracy tuliyoletewa na wazungu ili iendane na maadili ya kiafrika lakini pia tubadilishe baadhi ya vitu kwenye democracy tuchukue na ya kwenye mifumo ya uongozi wetu wa kiafrika sababu sio yote ya kishenzi.

Tukiendekeza udomo-krasia unavunja maadili Sidhani kama kuna mila ya kabila lolote la kiafrika linaruhusu kumtukana kiongozi wa nchi kisa tu unatofautiana nae mtazamo, huyo mimi lazima ningelala nae mbele.
 
subiri uone...hakuna antakayejishugulisha...uhuru sio mtu wa kukamata kamata watu ovyo

Lakini huo utovu wa nidhamu hauna uhusiano na demokrasia. Kwanza kavunja sheria ya kumtukana mtu hata asingekuwa rais. Huyo si wa kumfumbia macho.
 

Sikujua ipo siku nitakupa 'like'
Mtu akanitukana matusi kama hayo hata huku uraiani saint kajamba nitamfuata mpaka aikimbie nchi.
 
Mzee wa mitusi huyuu yupo cell,anyee ndoo huko tu,ila na mwenzake kuria huwa ansema atamyoa vuzi odinga alaf tunamchekea tu,I guess the puppy has matured[emoji191] [emoji191]
 

in philosophy of law tunaambiwa kuwa kuna natural law halafu kuna legal positivism.

natural lawyers wanasema the law should comply to the norms and culture of the society. if you have a law that is contrary to what your society behaves then that is a bad law. again a law is not the only and only determinant of what is right or wrong. the culture can be the yard stick. something can be legally right but can be wrong as far as our norms, culture or customs is concerned. for example the former apartheid regime of South Africa was according to the law but contrary to our culture. the legal positivists try to make the world believe in written laws and abandon the natural law.
what huyo jamaa mwenye matusi alichofanya is contrary to our culture, kumtukana mtu mbaya zaidi kumtukana mfalme. huyo asiachwe asilani. kuna tofauti kubwa sana kati ya kukosoa na matusi.
 
You nailed it.

"Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import..[it] should develop according to a particular country" - Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…