BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Utakoma ubishi. Ogopo ulimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisei urais ni uvumilivu, yaani binafsi hata nikibembelezwa siwezi kuthubutu kuusaka maana nitaishia kuua raia wangu. Mtu unitukane 'mtoto wa mbwa' halafu uendelee kupumua wakati nina mamlaka ya kukushughulkia, hata kama kikatiba sitakufikia, basi kuna vijana wa kazi nawatuma kwako kimya kimya unapokea mtiti wa SMG.
Hongera kwa marais mliopo, kweli muna karama ya uvumilivu, nyie mpo tofauti kabisa.
Unakuta hata huku kwenye mitandao ukitukanwa na mtu usiyemfahamu wala kumjua lakini hasira na mipovu inatiririka....
Uhuru KenyattaVerified account @UKenyatta
Let us stop going around teaching our young men to insult their elders but rather focus on giving our children a quality education.
Ujinga huo huwezi kumtukana kiongozi wa nchi mtoto wa mbwa halafu ukasema ni uhuru wa kujieleza. Sometimes naona Rais Magufuli yupo sahihiUhuru wa kujieleza na Demokrasia Imara
Wanadamu mnapambana kufuta msamiati "MATUSI"Ila tunatofautiana uelewa. Demokrasia haimaanishi kutukana. Matusi ni kuvunja sheria. Chukulia wewe mtu anakutukana kama hivyo unaweza vumilia???
Hapo kunatofauti kubwa sana kati ya kukosoa na kutukana.
MK254
Ungejua kuwa binadamu na mbwa wanakitu kimoja kinafana na kina thamani sawa UHAI.Ujinga huo huwezi kumtukana kiongozi wa nchi mtoto wa mbwa halafu ukasema ni uhuru wa kujieleza. Sometimes naona Rais Magufuli yupo sahihi
Ungejua kuwa binadamu na mbwa wanakitu kimoja kinafana na kina thamani sawa UHAI.
Afavyo mbwa ndivyo afavyo binadamu.
Msijipe thamani ya kufikirika kana kwamba mna ubora wa ziada.
Zaidi sana mnatengeneza ma nuclear bomb.
Binadamu kaumbwa kwa mfano wa binadam.weweeeee kufa tunakufa sawa na viumbe vingine, lkn binadamu kaumbwa kwa mfano wa Mungu.
aisee nisije nikawa anaongea na mtu ambaye haiamini biblia. huyo binadamu alitoka wapi??Binadamu kaumbwa kwa mfano wa binadam.
Ile lugha wanaielewa wataalam wa lugha, sio waumini.